Baraza la wawakilishi Zanzibar latetea matumizi ya bendera ya taifa kwa meli za Iran

"This action by your government has the effect of assisting the Iranian regime in evading U.S. and EU sanctions and generating additional revenues for its nuclear enrichment and weapons research program and its support for international terrorism,"

Berman said in a letter to President Jakaya Kikwete that was obtained by Reuters. Berman said if the tankers were allowed to continue sailing under the Tanzanian flag, Tanzania could face the sanctions that President Barack Obama signed into law.

He said Congress would also have "no choice" but to consider whether to continue the range of bilateral U.S. programs with Tanzania.Officials at Tanzania's embassy were not immediately available to comment on Berman's letter.

.
Jamani mimi nawish Tanzania iwekewe SANCTIONS kabisa .... na sactions ziwe pamoja na Travel BAN kwa Viongozi wote wa juu wa Serikali ... including Vasco Da Gama!

Hii itawasaidia kufungua macho yao na kuanza kutafuta maendeleo kutokana na vyanzo vya ndani.

Wanaacha hela huku wanawapa wawekezaji kwa bei ya kutupa alafu wanaenda Ulaya kuomba Vyandarua!!!!!!!

...... Shame on them! .... kwa kutufanya Watanzania kudharaulika kwa Mataifa ya nje!.

Piga travel ban viongozi& economic embargo kabisa hawa ..... labda watapata akili! ....

.
 
At best SMZ move puts union Govt in a diplomatically awkward situation, at worst it checkmates the 'Mufalme' with very interesting possibilities if SMZ chooses not to burge an inch.
 
Kwanza alieweka taarifa hii naomba aondoe cuz ni uongo .Blw limetoa ufafanuz mzur.Meli zilizosajiliwa c za iran.Ukitaka kujua zaid nenda kwenye tovuti(zanzibaryetu.Wordpress.Com).
 
WASHINGTON (Reuters) – Tanzania must stop the practice of "re-flagging" Iranian oiltankers or it will face the threat of U.S. sanctions and damage its ties with Washington, a U.S. lawmaker warned on Friday.

Howard Berman, the ranking member of the House Committee on Foreign Affairs, accused Tanzania of reflagging at least six and possibly as many at 10 tankers owned by the National Iranian Tanker Company.

"This action by your government has the effect of assisting the Iranian regime in evading U.S. and EU sanctions and generatingadditional revenues for its nuclear enrichment and weapons research program and its support for international terrorism," Berman said in a letter to President Jakaya Kikwete that was obtained by Reuters.

Berman said if the tankers were allowed to continue sailing under the Tanzanian flag, Tanzania could face the sanctions that President Barack Obama signed into law.

He said Congress would also have "no choice" but to consider whether to continue the range of bilateral U.S. programs with Tanzania .

Officials at Tanzania's embassy were not immediately available to comment on Berman's letter.

The sanctions, along with similar action by the European Union, are aimed at pressuring Iran to curb its nuclear program, which the West believes aims to develop nuclear weapons but which Tehran says is for peaceful purposes.

The United States gave China a six-month reprieve from Iran financial sanctions on Thursday. The Obama administration has now spared all 20 of Iran's major oil buyers from its unilateral sanctions, rewarding them for cutting purchases of Iranian oil.

http://in2eastafrica.net/tanzania-must-stop-re-flagging-iran-tankers-us-lawmaker/
 
Wamesajiri kwa sheria ya zanzibar wakaweka bendera ya muungano, harafu wakaenda kuwatonya wamarekani. Sasa hapo Kikwete anawakati mgumu.

Kikwete ni bora avunje tu muungano
 
hatutaki ! bendera iliyopo iwe ya zanzibar, sisi tufufue ile bendera ya Tanganyika! ukweli ni kuwa wazanzibar wanataka sana kubebwa, sasa wanataka wabebewe na waarabu
 
The Zanzibar government yesterday defended its move to register Iranian oil tankers, saying it didn't break any laws as claimed by a section of the international media early this week. Zanzibar Infrastructure and Communication minister Hamad Masoud Hamad refuted reports that the Isles government had registered Iranian oil tankers as reported by Bloomberg News Agency early this week. The minister admitted however that the said Iranian oil tankers were previously registered in Cyprus and Malta islands. Briefing the House of Representatives yesterday, Hamad said the registered oil tankers were not covered by international sanctions imposed on Iranian ships by the European Union and the United States. The minister stated that according to the Zanzibar Marine Transport AuthorityAct, number 3 of 2009, and the Zanzibar Marine Transport Act of 2006, the Isles government had full autonomy to register international ships. According to the minister, Zanzibar entered into an agreement with a Dubai-based company, Philtex Ltd, to act as its agent in the registration of all international ships, known in the shipping industry as ‘open registry'. The minister added that open registry had been in effect since 2009, whereby a number of international cargo ships, oil tankers and passenger vessels were registered in Zanzibar. Contrary to the media reports, the minister said, the vessels claimed to belong to Iranian authorities were in fact owned by British nationals living in the Virgin Islands and the Seychelles. The minister warned against interference by the union government in the matter as promised by his counterpart, Dr Harrison Mwakyembe, saying marine transport in Zanzibar wasn't a union affair. Citing relations between Iran and Zanzibar, the minister said the two countries had strong ties, adding that that was why Iran's vice-president recently visited the Indian Ocean archipelago to discuss how to strengthen the relations. He warned that Zanzibar wasn't ready to be dragged into the ongoing conflicts between Iran and Western countries. Speaking about the Iranian tanker flying the Tanzanian flag, the minister said since Zanzibar was part of the union, there was nothing wrong for vessels registered in the Isles to fly the union flag. "But if the Tanzanian government won't feel comfortable with the tankers flying the union flag we are ready to let them fly the Zanzibar flag. This is no big deal and it should not be blown out of proportion," the minister said. On Monday, Bloomberg News Agency reported that NITC, an oil-tanker company owned by Iranian pension funds, renamed at least 10 of its vessels and switched them to flying the Tanzanian flag amid increasing curbs on transactions with the Persian Gulf nation. NITC renamed five large crude oil carriers, each with a capacity to hold about 2 million barrels of oil, and five Suezmaxes, hauling 1 million barrels each, according to the Equasis shipping database maintained by the European Commission, Bloomberg reported. Ownership was switched from NITC to new companies operating from the same address in Tehran and NITC remains the operator, the data show. All the ships were previously registered in Malta or Cyprus. A European embargo on Iranian crude exports, which comes into effect on July 1, extends to insuring vessels that carry oil. Twenty-five NITC tankers are being used to store crude, the Paris-based International Energy Agency said on June 13, this year. The US and Europe said Iran's nuclear programme was aimed at developing atomic weapons while the government in Tehran says it is for civilian purposes. Habibolah Seyedan, NITC's commercial director, was unavailable for comment, said a person who answered a call to his office yesterday. The company lists 39 tankers on its website. Philtex Corp. operates the administrative office of the Tanzania Zanzibar International Register of Shipping from Dubai, according to the register's website. SOURCE: THE GUARDIAN

Are they going to defend the Sanctions to their people? Iranians have OIL they can sell in black market 2 feed their

People; what will Zanzibar Government do to feed their people? remember it is an Island so easy to block with US

Navy Ships No food in and OUT !!!
 
Wekeni bendera yenu hivi vijitu matatizo mtupu

Wanayo lakini hawataki kufa wenyewe; wanataka kumbeba mnyonge wao asiye na kharaha

_40714247_newflagafp203bok.jpg
 
kila kitu lazima mabwana zenu waamue na nyinyi mnafuata

USA inaipa ZNZ kiasi gani?

Na kama IRAN imeamua kuwapa 10x more ....i'd say good for ZNZ
 
Ship Registrar, Admnistrator/Govt.Representative - Mr. Abdulla Mohammed Abdalla, popote alipo akamatwe na ahojiwe kwa nini alitoa kibali cha kusajili (re-flag) meli za mafuta za Iran na kuruhusu zipeperushe bendera ya taifa letu??!!??

Hivi huyuuu.... sio waziri wa nchi jirani ya zanzibar kweliii....? Kama ni yeye itakuwa ngumu kumkamata, labda sijui....., naona tuwaachie wenyewe wazenji....aaarrghh!!!
 
Huu muungano hauna tija, vunjilia mbali haiwezekani utumie sheria za zanzabar harafu uweke bendera ya muungano. Ama sheria iliyotumika ni sheria ya muungano?
 
Ship Registrar, Admnistrator/Govt.Representative - Mr. Abdulla Mohammed Abdalla, popote alipo akamatwe na ahojiwe kwa nini alitoa kibali cha kusajili (re-flag) meli za mafuta za Iran na kuruhusu zipeperushe bendera ya taifa letu??!!??

Hivi huyuuu.... sio waziri wa nchi jirani ya zanzibar kweliii....? Kama ni yeye itakuwa ngumu kumkamata, labda sijui....., naona tuwaachie wenyewe wazenji....aaarrghh!!!
 
ahahahahaa! janja ya paka panya kwisa tambua!
NDOA hii haina talaka, kilicho bakia ni bakora kwa kwenda mbele, mpaka huyu mbuguma atwihi na kuendelea kupika urojo uwani! hulijui hilo bro?

Mipasho anayoitoa Zomba hapa, inaonekana ni mwanamke or the like!
 
Nahisi tunatoa mawazo yetu zaidi kwa ushabiki pengine hata kujua kiini cha mzozo wenyewe.

- Kwanza ieleweke kuwa "Si kosa kwa mujibu wa sheria zilizopo kwa Zanzibar kusajili meli za nje kwa jina na bendera ya Tanzania. Hii ni kwa mujibu wa vifungu vya sheria hii:
Na kwa mujibu wa sheria hiyo, kwa miaka sasa imekuwa ikisajili meli kwa kutumia bendera ya Tanzania kwa sababu, mpaka hapo Muungano utakapovunjika kwa wanaotaka uvunjike, Zanzibar na Tanganyika zina haki sawa ya kutuia bendera hiyo "kwa mujibu wa sheria".

- Tazizo lililopo ni kuwa meli zinazotajwa a) Wamiliki wake ni raia wa British Virgin Islans na Sychelles b) Meli hizo zimesajiliwa Malta na Cyprus

Kwa hivyo, ikiwa Tehran imefanya mizengwe ya kubadilisha usajili ni juu ya Umoja wa Ulaya kuwabana pia wamiliki wa meli hizo na zilikosajiliwa kwanza.

Mkuu, ningependa kila mmoja asome post yako. Tatizo hata sheria uliyotaja na Sheria ya Zanzibar, japo mwishoni imetaja kwamba meli ikifanywa hivyo itakuwa mali ya TANZANIA.

Lakini hujataja sheria ya namna hiyohiyo huku TANGANYIKA yaani Bara au hata Sheria ya Muungano kuhusu suala hilo.

Bado kuna deni na si kwamba hapo umemaliza tatizo.
 
..this is a scandal.

..I am sure Dr.Shein na Balozi Seif Iddi hawakuwa na habari na suala hili.

..ZNZ na wakala wao huko Dubai wanapaswa kufuta usajili wa hizo meli haraka iwezekanavyo.

..what if USA na marafiki zake wakiamua kulipiza kisasi na kuziwekea vikwazo meli zote zinazopeperusha bendera ya Tanzania?? Is Tanzania ready for that??
 
Back
Top Bottom