See unachongea unajua formula yakutoboa ww? Au ni kutoshirikisha akili watu kama nyinyi mkishakuwa na uwakika Wa kula na kulipia kodi huwa amuwazi mbali, U have to think before commenting your idea hujalazimishwa kutoa point.
Habari wanajamii , watalamu Wa ufugaji Wa samaki naombeni mwongozo kwenye swala zima la samaki kufuga kwakuzingatia mabwawa na vifaa muhimu vyakuwa navyo maana nataka nianzishe huo mradi na kwa tathmini ya haraka mtaji kwa mtu Wa chini kabixa nanza na sh ngap?
OK sawa, so mimi kama kijana mtafutaji naweza andaa kipind chenye maudhui na mikakati, then nikaenda kwa media owner labda redio flani nikaonyesha wazo langu then nikaomba airtime ambapo hapo cina fedha za kuanzia. Je, media kama media zinapokea kitu kama hicho?
Ni namna gani vipindi mbalimbali vya redioni vinaingiza faida?
SAME TIME mm c mtangazaji lkn naimani naandaa kipindi cha redio ambacho namatarajio kitakuwa na fanc weng na nafkria nkishaandaa mpango mkakati wakipind hicho niende midea mpya au zazamani zinazojulikana niweke my approach kwao, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.