Vipindi ya redioni vinapataje faida?

Vipindi ya redioni vinapataje faida?

William mushi

Member
Joined
Sep 14, 2018
Posts
13
Reaction score
9
Ni namna gani vipindi mbalimbali vya redioni vinaingiza faida?

SAME TIME mm c mtangazaji lkn naimani naandaa kipindi cha redio ambacho namatarajio kitakuwa na fanc weng na nafkria nkishaandaa mpango mkakati wakipind hicho niende midea mpya au zazamani zinazojulikana niweke my approach kwao, na je ili hadhi yakipindi hicho maudhui yake yasidhulumiwe nianzie wap ili wakiibaa maudhui niwe na sehem yakulalamikia na ushaidi
 
OK sawa, so mimi kama kijana mtafutaji naweza andaa kipind chenye maudhui na mikakati, then nikaenda kwa media owner labda redio flani nikaonyesha wazo langu then nikaomba airtime ambapo hapo cina fedha za kuanzia. Je, media kama media zinapokea kitu kama hicho?
Kwa kuuza air time na matangazo .
 
OK sawa so mm kama kijana mtafutaji naweza andaa kipind chenye maudhui na mikakati, zen nikaenda kwa media holder labda redio flan nikaonyesha wazo langu zeni nikaomba airtime ambapo hapo cina fedha za kuanzia je media kama media zinapokea kitu kama icho??
Ukipeleka wazo wanalichukua wao kisha wanakupiga chini

Sent using [iPhone 11Pro Max
 
OK sawa, so mimi kama kijana mtafutaji naweza andaa kipind chenye maudhui na mikakati, then nikaenda kwa media owner labda redio flani nikaonyesha wazo langu then nikaomba airtime ambapo hapo cina fedha za kuanzia. Je, media kama media zinapokea kitu kama hicho?
Haya mambo alifafanuaga vizuri sana Pascal Mayalla
Ngoja aje akupe link ya huo uzi.
 
Ni namna gani vipindi mbalimbali vya redioni vinaingiza faida?

SAME TIME mm c mtangazaji lkn naimani naandaa kipindi cha redio ambacho namatarajio kitakuwa na fanc weng na nafkria nkishaandaa mpango mkakati wakipind hicho niende midea mpya au zazamani zinazojulikana niweke my approach kwao, na je ili hadhi yakipindi hicho maudhui yake yasidhulumiwe nianzie wap ili wakiibaa maudhui niwe na sehem yakulalamikia na ushaidi
Karibu mitaa hii

P
 
Haya mambo alifafanuaga vizuri sana Pascal Mayalla
Ngoja aje akupe link ya huo uzi.
Asante kuni tag,
Nimemkaribisha mitaa hii
P
 
Kwa uelewa wangu

1. Matangazo

2. Events (siku hizi kuna vipindi vingi tu vinatengeneza events na kupata sponsorship)

3. Online platforms kama youtube

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom