Recent content by willeteo

  1. W

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kuona malaika?

    Issues za malaika muulize likado momo!!
  2. W

    JamiiForums Tanzania Wafikishwa Mahakamani kwa kudukua Mfumo wa Kompyuta wa CRDB

    Hv we uliyeleta hii habar unajua uzito wa hi sentensi “kudukua mfumo wa bank”!???
  3. W

    JamiiForums Tanzania Manifestation Secret

    Ongeza nyama chifu!!
  4. W

    JamiiForums Tanzania Malkia Elizabeth kalala kuzimu. Je, karma itachukua mkondo wake?

    We hz habar ukiambiwa uthibitishe utaweza!?? Uthibisho dhahiri sio uliosimuliwa
  5. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini asilimia kubwa ya watumishi wa kike katika ofisi za umma wana kibri, dharau na majibu ya nyodo?

    Usiombe umkute anakomwe!![emoji23][emoji23][emoji23]
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kutana na WAAJEMI(IRAN ya Sasa), Adhabu mbaya na hatari kabisa kuwahi kutolewa Duniani

    we jamaa profile yako inapicha ya boyka afu unaogopa kiboyaboya hv!!!
  7. W

    JamiiForums Tanzania Siri ambayo ungependa kuifahamu

    hv bashite hajadanganya na umri kweli!!???
  8. W

    JamiiForums Tanzania Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    Mungu n nan?? alitoka wap?? don west ua time brother,hv unatarajia maswali kama hayo ujibiwe na nan??
  9. W

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutengeneza email addres bila kutumia yahoo,gmail au hotmail

    sa si ushaitengeneza hyo 124ali@muuzamchicha.co.tz. au m ndo cjaelewa!!
  10. W

    JamiiForums Tanzania Mein Kampf: Pambano la mbwa mwitu wa Magharibi pasipo kufa

    nyie endeleen tu kunichimbA,m cjafa. by hitler
  11. W

    JamiiForums Tanzania Nataka kumpeleka mke wangu chuo lakini roho inasita

    mm nmemaliza chuo,nkabakishwa chuon as tutorial assistant and now I have three years kazn,so nakushauri tena kwa capital letters, DON DO THAT!!!! mwanamke hasomeshi,usidanganyke eti kazaa tayar,kuna watoto wa mbwa wanakula hvyohvyo. kama unabsha poa,msomeshe but usisahahu kutuletea mrejesho...
  12. W

    JamiiForums Tanzania Tuwadai Clouds Fm risiti za EFD...Wamezidi kujipendekeza

    kwahl hata mm nasapoti aiseeh,jamaa wanapata pesa nyng kwa mtaj waliowekeza mara moja,akati wafanyabiashara wadogo wanalipa kodi kila item walionunua ili wauze.
  13. W

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais Magufuli awajibu Watetezi wa Haki za Binadamu. Asema wanaweza kuwa wanatetea uovu

    hv hawa wanaotetea mafisadi wanajielewa kweli.hv wanajua maisha mabovu wanaoishi walimu,manesi,polisi na watu wengne wa serikali wao na familia zao!!!!?? watu wangap wamekufa bcoz hosptal hazna dawa,magraduate wangapi tuko mtaan hakuna ajira na hakuna means ya kuwezeshwa??? utanambia njiajir we...
Back
Top Bottom