natafuta mtu anayefuga kuku aina ya Kenbro hususani kutoka mikoa ya Iringa, Dodoma au Mbeya. Ninahitaji mayai kwa ajili ya kutotolesha ila nitahitaji kumtembelea kwanza kuona shughuli zake na kupeana ushauri.
samahani suip kwa kuingilia uzi wako, lakini mimi pia nina tatizo, kuku wangu wameugua ugonjwa wa infectious coryza na wameathirika vibaya macho, nilikua na kuku 300 lakini nimeshapoteza 30 hadi sasa (ndani ya wiki 3 tangu ugonjwa uanze), nimejaribu kutumia dawa ta mafua fluquin na antibiotics...
Umeshasema Dk. Slaa alisema 'Chadema hatujaalikwa' na Mbowe alienda kama 'kiongozi wa upinzani bungeni' sasa tatizo lako nn? Kwani kikwete alisimama kama 'raisi wa nchi' au 'mwenyekiti wa Ccm'? Tofautisha vyeo kwanza vinginevyo ondoa post yako isiyo na maana.
Kwa mtu wa umri wa dk. Slaa ni rahisi kuelewa kua alianza siasa kabla chadema haijaundwa kwahiyo Labda alianza tangu TANU to CCM then Chadema. Hayo ya kutunza kadi ni sawa na ww unavyoweza kuwa na daftari la darasa la kwanza hadi unapomaliza chuo licha ya kua hulihitaji, hulitumii na wala...
Nimekaa kota za ifunda sekondari hadi 2002 nikasoma shule ya msingi mazoezi ifunda halaf malangali sekondari kisha njombe high school na mwisho UDSM
Enzi hizo Ay anapaform ukumbi wa mazengo, head master nkondokaya anachomewa nyumba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.