Recent content by Wilfred Lwakatare

  1. Wilfred Lwakatare

    Mapendekezo ya Kambi ya Upinzani kwa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi

    HOTUBA YA MSEMAJI MKUU WA KAMBI RASMI YA UPINZANI BUNGENI KATIKA WIZARA YA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI MHESHIMIWA WILFRED MUGANYIZI LWAKATARE (MB) AKIWASILISHA MAONI YA KAMBI RASMI YA UPINZANI BENGENI KUHUSU BAJETI YA WIZARA HIYO KWA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 *(Inatolewa chini ya Kanuni...
  2. Wilfred Lwakatare

    Hotuba ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Kazi -Waziri Kivuli

    Leo Bungeni Dodoma kuanzia saa 5 asubuhi nitawasilisha hotuba ya upinzani kwa wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Unaweza kufuatilia hotuba yangu kupitia TBC 1 au 2 au kupitia marudio ya bunge usiku kuanzia saa 3. Na baadaye nitaileta hapa jukwaani. Asante
  3. Wilfred Lwakatare

    Hospitali ya rufaa Bukoba Mjini ipandishwe viwango

    Nimeiomba Wizara mwaka huu izifikishe Bilioni 2 ktk Hospitali ya Rufaa Bukoba Mjini. Fungu hili limekuwa likipitishwa kila mwaka wa bajeti kuwezesha upatikanaji wa vifaa vinavyotakiwa katika Hospitali ili kupunguza usumbufu wa wananchi kusafiri mpaka Bugando kupata vipimo. Pia, Nimeisihi Wizara...
  4. Wilfred Lwakatare

    Waziri Muhongo kukataa Bunge kujadili tetemeko la ardhi Bukoba

    Ndugu Watanzania, mimi Mbunge wa Bukoba mjini Wilfred M Lwakatare kwa niaba ya wananchi ninaowawakilisha; nachukua fursa hii kupitia andiko langu la wazi kuwashukuru kwa maombi na dua, michango ya hali na mali hasa kipindi tulipopatwa na tetemeko Septemba 10 2016. Kwa kipekee nivishukuru vyombo...
  5. Wilfred Lwakatare

    Lwakatare: Natoa pole kutokana na mtikisiko wa tetemeko la ardhi uliojitokeza Kagera

    Alafu nani awawakilishe Bungeni? Bukoba ipo halmashauri nzima yenye madiwani na meya, ipo ofisi ya Mbunge yenye watendaji.
  6. Wilfred Lwakatare

    Lwakatare: Tetemeko la ardhi Bukoba

    HABARI YA JUMAPILI NDUGU WANA WA BUKOBA NA MKOA KAGERA KWA UJUMLA. Nawasalimia na kuwapa pole kutokana na mtikisiko wa tetemeko la ardhi uliojitokeza kwa mara nyingine usiku wa kuamkia leo. Tumshukuru kwa pamoja mwenyezi Mungu kwamba hakuna madhara makubwa zaidi ya mishtuko ya nafsi zetu, kwa...
  7. Wilfred Lwakatare

    Lwakatare: Natoa pole kutokana na mtikisiko wa tetemeko la ardhi uliojitokeza Kagera

    HABARI YA JUMAPILI NDUGU WANA WA BUKOBA NA MKOA KAGERA KWA UJUMLA. Nawasalimia na kuwapa pole kutokana na mtikisiko wa tetemeko la ardhi uliojitokeza kwa mara nyingine usiku wa kuamkia leo. Tumshukuru kwa pamoja mwenyezi Mungu kwamba hakuna madhara makubwa zaidi ya mishtuko ya nafsi zetu, kwa...
  8. Wilfred Lwakatare

    Video: Wananchi walivyopokea kipigo kutoka kwa polisi huko Geita

    [emoji23][emoji23][emoji23] you are not serious. Are you?
  9. Wilfred Lwakatare

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    Nashukuru kwa ufuatiliaji wa kila mmoja wetu na hamu ya kujua kinachoendelea. Mchakato wa kufanya formalities zote zinazotakiwa kisheria na kiutaratibu zinaendelea. Na kwa bahati mbaya taratibu za serikali yetu ni ndefu mno na zenye kujaa vikorikoro vingi. Tuko makini tutavuka na tutapeana...
  10. Wilfred Lwakatare

    TUSHIRIKISHANE Mjadala wa Mipango ya Maendeleo kwa Jimbo la Bukoba Mjini

    LEO NIMEWASILISHA RIPOTI YA KIKAO NILICHOKIFANYA NA BAADHI YA WANA KAGERA WAISHIO JIJINI DAR ES SALAAM KWA MKUU WA MKOA KAGERA. MH. MKUU WA MKOA, KAGERA. MAAZIMIO YALIYOPITISHWA KWENYE KIKAO KILICHOITISHWA NA MH. WILFRED LWAKARATE(MB), MBUNGE WA JIMBO LA BUKOBA MJINI, KUJADILI ATHARI...
  11. Wilfred Lwakatare

    Leo nimewasilisha ripoti ya kikao nilichokifanya na baadhi ya wana Kagera waishio Dar es salaam

    MH. MKUU WA MKOA, KAGERA. MAAZIMIO YALIYOPITISHWA KWENYE KIKAO KILICHOITISHWA NA MH. WILFRED LWAKARATE(MB), MBUNGE WA JIMBO LA BUKOBA MJINI, KUJADILI ATHARI ZA TETEMEKO LA ARDHI MKOANI KAGERA, KUONA JINSI YA KUSAIDIA WALIOPATWA NA MADHARA.TAREHE 18 SEPTEMBA, 2016 KWENYE HOTELI YA KEBBY'S...
  12. Wilfred Lwakatare

    Mchango wa mbunge wa Bukoba mjini bungeni, bwana Lwakatare

    Ndugu Wananchi na wadau wa Bukoba Mjini na Kagera; jana nimepata fursa ya kuuliza swali ambalo limetuumiza vichwa wengi kuhusiana na mkoa wetu kuwa kati ya mikoa mitano maskini Tanzania kwa 39% ikizingatiwa kuwa mkoa wa Kagera una historia ya kuwa mkoa tajiri pamoja na Mbeya na Dar es Salaam...
  13. Wilfred Lwakatare

    Wilfred Lwakatare: Afya yangu iko imara

    Mapema leo nikiwa nyumbani Kimara.
  14. Wilfred Lwakatare

    Wilfred Lwakatare: Afya yangu iko imara

    Ndugu zangu wana JF, si desturi yangu kutumia mitandao ya kijamii na media kueleza mambo yote ninayofanya wala yanayonipata kila mara. Naamini leo ukienda katika hospitali zetu wapo watu wengi wanaopata huduma za matibabu, wengine wakitibiwa na kuondoka, wengine hulazwa na wengine huzidiwa na...
Back
Top Bottom