Wilfred Lwakatare
Member
- Dec 10, 2015
- 22
- 70
Leo Bungeni Dodoma kuanzia saa 5 asubuhi nitawasilisha hotuba ya upinzani kwa wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi. Unaweza kufuatilia hotuba yangu kupitia TBC 1 au 2 au kupitia marudio ya bunge usiku kuanzia saa 3. Na baadaye nitaileta hapa jukwaani. Asante