Wilfred Lwakatare
Member
- Dec 10, 2015
- 22
- 70
Nimeiomba Wizara mwaka huu izifikishe Bilioni 2 ktk Hospitali ya Rufaa Bukoba Mjini. Fungu hili limekuwa likipitishwa kila mwaka wa bajeti kuwezesha upatikanaji wa vifaa vinavyotakiwa katika Hospitali ili kupunguza usumbufu wa wananchi kusafiri mpaka Bugando kupata vipimo.
Pia, Nimeisihi Wizara ikarabati zahanati nne na vituo vya Afya viwili vilivyosambaratishwa na Tetemeko la Septemba 2016. Pamoja na kuendeleza ujenzi wa Zahanati za Buhembe na Rwamishenye ambazo matofali yameshapelekwa.
Wizara ya Afya inatakiwa kuwatoa hofu wakina Mama na wananchi wote kwa ujumla juu ya kujifungua salama na kulindwa kwa watoto wachanga ambapo pamekuwa na taarifa za upoteaji wa watoto hivi karibuni.