Hiyo style kapigishwa mahali fulani na kaipenda akaona aje akuletee na wewe uijue. (Eva kadanganywa na nyoka kula tunda la mti wa kati kaona linafaa kampelekea na mumewe Adam).
Dar hakuna mashamba hivyo mahindi yote yanatoka mikoani na hadi kufika dar masokoni na kwa mlaji ni zaidi ya siku mbili na kwa muda huo mahindi yanakuwa yashapoteza ladha halisi. Sasa ili kulifanya liwe na ladha baadhi ya walaji hutia chumvi na pilipili na wakati mwingine limao ili mradi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.