Aaah!! Jasiri haachi asili.Kweliii Yale mambo umeacha
Aaah!! Jasiri haachi asili.Kweliii Yale mambo umeacha
Mkuu nashauri tufungue kanisaNikakemea kimoyomoyo safari ikaendelea Nissan mbele Mimi nyuma
Mkuu umemuachia nani tunguri?Naenda mwaka wa tatu sasa tangu niachane na tunguli
Hapo magomeni kanisani nimewai shuhudia kundi la wise goat 🐐 wakivuka barabara tena kwa kutumia zebra crossingHiyo mitaa kuna mbuzi wanajichunga wenyewe
Wanatoka kinondoni makaburini kila siku to Tandale
Mkuu, ukiwa unajua Siri nyingi za huo upande inasemwa lazima wajitahidi wakuzime kama kibatariii vipi upande wako hukupataga CHANGAMOTO zozotee ilipo amua kuachana na uloziiNiliuza vingine niligawa mkuu
Niko kwenye mikono salama ya wokovu.. Wigo mnene wa damu takatifu isiyo na mawaa ya Yesu Kristo inaninda vilivyo mkuu🙏🏿🙏🏿🙏🏿Mkuu, ukiwa unajua Siri nyingi za huo upande inasemwa lazima wajitahidi wakuzime kama kibatariii vipi upande wako hukupataga CHANGAMOTO zozotee ilipo amua kuachana na ulozii
Mtaalamu wa vilingeni kama hilo limekuwa gumu kwako kutambua, je sisi akinakadhalika kweli tutalielewa?Nilitoka Posta kwenye mishe zangu nikawa naelekea Sinza.. Na njia ambayo ingenifikisha kwa urahisi ni kupitia pale Magomeni Morroco then Tandale
Basi nikachukua njia hiyo, Ukiingia hiyo njia kwa mbele kuna shule ya msingi upande wa kushoto na mbele kulia kwenye kona kuna makaburi
Pembezoni mwa makaburi kuna njia inaingia mtaani.. Basi ikatoka Nissan Patrol damu ya mzee toka njia hiyo ya makaburini.. Kwa namna dereva alivyokuwa rafu kuingia main road ikabidi nimpe njia apite
Ile kuingia tu main road hakwenda hata hatua kumi kuna paka mweusi akadondoka barabarani toka chini ya uvungu wa gari na kukimbia kurudi makaburini
Nikakemea kimoyomoyo safari ikaendelea Nissan mbele Mimi nyuma
Kufika usawa wa Shule ya Salma Kikwete tukakuta gari zimesimama pande zote.. Mimi nilikuwa gari ya tatu nyuma.. Pale katikati ya barabara kulikuwa na kilinge cha kondoo saba.. Wawili walikuwa wamekaa chini na wengine watano wamewazunguka wenzao!
Mwanzoni nilidhani wale wawili walikuwa wamegongwa lakini baada ya kuwapita, maana ilibidi tutanue kushoto na kulia kuweza kupita, hapakuwa na ajali yoyote
Baada tu ya kupita naangalia mbele nakuta ile Nissan imeshatembea na kui overtake gari ya mbele
Mpaka sasa najiuliza kulikuwa na uhusiano gani kati ya yule paka mweusi Nissan na wale kondoo.
Mimi nimewashuhudia kwa macho kabisa mbuzi ana behave kama mtu kabisa..Ile picha yao ilisambaa sana
Kaka niombee na Mimi kakaMambo ya miujiza Kaka ,yakiendelea kukuchanganya usisite kupiga simu nikuombee ndugu .
Hii dunia sasa imeharibika mno.
Yesu kristo ndie bwana na mwokozi wa maisha yetu 💯💯💯💯💯Niko kwenye mikono salama ya wokovu.. Wigo mnene wa damu takatifu isiyo na mawaa ya Yesu Kristo inaninda vilivyo mkuu🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Kaka ,pombe hizi ila wacha nijaribu ila je nitasikika huko juu?Kaka niombee na Mimi kaka
Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema/ neema anasikia maana yeye si kiziwi mpaka asisikieKaka ,pombe hizi ila wacha nijaribu ila je nitasikika huko juu?
Ndio kazi unayoiweza siyo siasaNilitoka Posta kwenye mishe zangu nikawa naelekea Sinza.. Na njia ambayo ingenifikisha kwa urahisi ni kupitia pale Magomeni Morroco then Tandale
Basi nikachukua njia hiyo, Ukiingia hiyo njia kwa mbele kuna shule ya msingi upande wa kushoto na mbele kulia kwenye kona kuna makaburi
Pembezoni mwa makaburi kuna njia inaingia mtaani.. Basi ikatoka Nissan Patrol damu ya mzee toka njia hiyo ya makaburini.. Kwa namna dereva alivyokuwa rafu kuingia main road ikabidi nimpe njia apite
Ile kuingia tu main road hakwenda hata hatua kumi kuna paka mweusi akadondoka barabarani toka chini ya uvungu wa gari na kukimbia kurudi makaburini
Nikakemea kimoyomoyo safari ikaendelea Nissan mbele Mimi nyuma
Kufika usawa wa Shule ya Salma Kikwete tukakuta gari zimesimama pande zote.. Mimi nilikuwa gari ya tatu nyuma.. Pale katikati ya barabara kulikuwa na kilinge cha kondoo saba.. Wawili walikuwa wamekaa chini na wengine watano wamewazunguka wenzao!
Mwanzoni nilidhani wale wawili walikuwa wamegongwa lakini baada ya kuwapita, maana ilibidi tutanue kushoto na kulia kuweza kupita, hapakuwa na ajali yoyote
Baada tu ya kupita naangalia mbele nakuta ile Nissan imeshatembea na kui overtake gari ya mbele
Mpaka sasa najiuliza kulikuwa na uhusiano gani kati ya yule paka mweusi Nissan na wale kondoo.
Sifanyi ushirikina tena wala similiki zana yoyote