Recent content by Wikiliki

  1. Wikiliki

    JamiiForums Tanzania Dada wa kazi akimweleza mume wangu siri hii, sina ndoa tena

    Dawa ya mauti ni mauti unataka msaada gani
  2. Wikiliki

    JamiiForums Tanzania Mahakama kuu kitengo cha ardhi, yazuia kubomoa nyumba za Wananchi

    Hivi vijamaa vinavyoshabikia ubomoaji havijui hata bei ya tofali au cement na wala havijawahi kujenga hata choo
  3. Wikiliki

    JamiiForums Tanzania Wall and ceiling speakers

    Wadau wa jamvi hili. Habarini za muda huu. Ninaomba kama kuna mtu anayejua sehemu hapa Dar panapouzwa speaker za ukutani au za kwenye ceiling board hapa Dar aniambie.
  4. Wikiliki

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya kutoa amri ya kumkamata Hakimu, sheria ipi inayompa mamlaka

    Hawa watu wanaojiita wakuu wa wilaya sijui wanafikiri kwa kutumia nini
  5. Wikiliki

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa kampuni ya Halotel wasitisha huduma

    Hapa kazi tu
  6. Wikiliki

    JamiiForums Tanzania TV4Sale BNL Electronics: Smart TVs, LED Tvs for sale!

    Milioni 2.5 nije kuichukua
  7. Wikiliki

    JamiiForums Tanzania Manispaa ya Kinondoni yabomoa nyumba zilizojengwa kiholela

    Nyie mnaonekana hamjawahi kujenga. Ungekuwa umejenga ungejua uchungu wa kujenga.
  8. Wikiliki

    JamiiForums Tanzania Tunachimba visima kwa bei rahisi kabisa

    hiyo ni kwa mita
  9. Wikiliki

    JamiiForums Tanzania Wachawi wamemchukua mwanangu

    Pole sana ila kwa nini ume conclude ni uchawi. Hivyo ulivyoeleza vinaweza kuashiria kalogwa
  10. Wikiliki

    JamiiForums Tanzania Wakenya wamlilia Magufuli wetu

    kile kitengo cha propaganda za ccm za uchaguzi kimebdilisha uelekeo
  11. Wikiliki

    JamiiForums Tanzania CHADEMA business as usual

    Hizi ni blabla hazina facts unasema mahawara wamepewa viti maalum ila husemi ni akina nani. Hebu eleza wewe ungevigawaje ili kila mtu aridhike.
  12. Wikiliki

    JamiiForums Tanzania Kila Bunge kukaa viti vya upinzani ni mtihani kisaikolojia

    Keli nimekubali TZ ni moja ya nchi zinazoongoza kwa watu wenye IQ ndogo. Hebu mwangalie huyu
  13. Wikiliki

    JamiiForums Tanzania Dr Magufuli Baada ya kuapishwa naomba uanze HESLB

    Si mliambiwa elimu ya bure mkaikataa sasa mtaisoma namba kwa ushabiki wenu
  14. Wikiliki

    JamiiForums Tanzania UKAWA imeshindwa vibaya na sasa wanataka kujikosha

    Za mwizi ni 40, kuna siku mtakamatwa tu kama mlivyokamatwa zanzibar mchana kweupe mkimwibia Maalimu sasa mnatapatapa
  15. Wikiliki

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif akataa maamuzi ya ZEC, atoa tamko zito

    Zanzibar ni nchi pekee duniani ambapo tume ya uchaguzi yenyewe inaona uchaguzi haukuwa huru na haki wakati vyama vya siasa, wananchi na hata waangalizi wa nje hawajaona wala kulalamika kuwa uchaguzi haukuwa huru na haki. Zanzibar ni nchi pekee duniani ambapo serikali inaandaa uchaguzi yenyewe...
Back
Top Bottom