UKAWA imeshindwa vibaya na sasa wanataka kujikosha

UKAWA imeshindwa vibaya na sasa wanataka kujikosha

analaizi

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2014
Posts
1,351
Reaction score
186
Watanzania hatukupigia kura UKAWA na wameshindwa.kwa sasa wanatafuta kila mbinu kukwepa aibu.Jaji Lubuva usiyumbishwe.endelea na kazi
 
Atangaze wakati ukweli anaujua kuwa ni wizi wa kura
 
Kazi imeshakwisha mafuriko yote yameelekezwa baharini.toka lini kibaka akapiga kura
 
Kazi imeshakwisha mafuriko yote yameelekezwa baharini.toka lini kibaka akapiga kura

wakikusikia mtemvu,idd Azan(kinondoni),mukangara olesendeka kilango wasira ,jery,aggrey mwanri,masaburi, da na mwakalebela huyu jamaa ha ha ha kapigwa kipigo asichokitegemea kama mlichompiga wenje na nyerere watakushtaki kwa kuwakejeli ohoooo
 
CCM ni wezi na nyie mnaoshabikia huo wizi wa CCM mna upumbavu uliovunja record. Sasa nyie bakini na upumbavu wenu sisi haki tutaipigania.
 
Zanzibar inaweza ingia kwenye historia duniani kama nchi pekee ambayo badala ya mgombea kulalamika kuwa uchaguzi haukuwa wa huru na haki, mwenyekiti wa tume ndio analalamikia matokeo. MAAJABU YA MUSA
 
Imeshidwa vibaya kwa tofauti ya kura za wizi milioni moja. Hapo ndo imeshidwa vibaya. naionea huruma nchi yangu maana wanaonan'gania kuitawala na watoto wao ni vilaza mno. Ni majonzi sana
 
Zanzibar inaweza ingia kwenye historia duniani kama nchi pekee ambayo badala ya mgombea kulalamika kuwa uchaguzi haukuwa wa huru na haki, mwenyekiti wa tume ndio analalamikia matokeo. MAAJABU YA MUSA

Mkuu hili mi limenishangaza sanaa..
Ila hata afanyeje hawatoweza kumpa nchi ya znz kwa kura kwani hata Mh Mkapa alisema Nchi haiwezi kutolewa kwa makaratasi.
 
CCM ni wezi na nyie mnaoshabikia huo wizi wa CCM mna upumbavu uliovunja record. Sasa nyie bakini na upumbavu wenu sisi haki tutaipigania.
Jina lako linawakilisha jinsi ulivyo. Kweli MUSHI anakufaidi.
 
Uchaguzi utakuwa huru na und haki tu tanzania ikiwa upinzani utashinda tanzania,, pale mnaposhinda kwenye ubunge na udiwani basi haki imetendeka,,, toka 1995 tumekuwa tukilalamika inamaana hakuna uchaguzi ambao CCM ambao imeshinda hapa tanzania toka 1995?? Wapinzani tuache ujinga na siasa za kitoto kulalamika tu kila siku bila kuchukua hatua wala kuwa na strategic za kushinda,,kabla ya uchaguzi mengi yamesemwa juu ya anguko la upinzani na sababu zikiwekwa wazi,,lakini mmepuuza kwa kuita watu au kila aliyekosoa ni mnafiki,msaliti na fisiem, sasa sababu zile mlizopewa ndiyo zmewaangusha na kuwaangusha acheni kulia lia watanzania sio wajinga kiasi hicho wamchague lowassa..
 
Watanzania hatukupigia kura UKAWA na wameshindwa.kwa sasa wanatafuta kila mbinu kukwepa aibu.Jaji Lubuva usiyumbishwe.endelea na kazi

Labda ww ndio haukupigia Ukawa. Lakin watanzania wengi tuna iman na Ukawa na kura zilienda kwao
 
Za mwizi ni 40, kuna siku mtakamatwa tu kama mlivyokamatwa zanzibar mchana kweupe mkimwibia Maalimu sasa mnatapatapa
 
HAHAHA wapi NYUMBU tulisema JIZI KWENDA IKULU NEVER, Nahuyo DJ wao wanamfanya mungu mtu itakula kwao KAZI TU
 
wew ni dunya embe kweli,yaaan wew ni mwiz paspo kujijua jitoe ufahamu uzan na watanzania ni km wew
 
Watanzania hatukupigia kura UKAWA na wameshindwa.kwa sasa wanatafuta kila mbinu kukwepa aibu.Jaji Lubuva usiyumbishwe.endelea na kazi

Hujitambui! Na ninashangaaa humu umeingiaje?? Wewe kama hukupigia ni wewe! Unatakiwa ukapime akili yako.
 
Back
Top Bottom