Tunachimba visima kwa bei rahisi kabisa

Tunachimba visima kwa bei rahisi kabisa

Sijui ni utani wa namna gani huu! Hii sasa ishakuwa sehemu ya utapeli na utani. Hivi elfu sabini si ni gharama ya kusafirisha equipments kwenda site?

Acha utapeli kaka, utani wa milioni 50 kila kijiji huo
 
:thumbup: Tuanchimba visima kwa shilling elfu sabini tuna funga pampu pamoja na kukupa tanki la lita elfu moja au elfu mbili tuwasiliane kupitia namba 0659839446

Kutangaza biashara huku ukiwa nyuma ya ID feki si jambo njema
Ni kampuni au ni kikundi?
 
:thumbup: Tuanchimba visima kwa shilling elfu sabini tuna funga pampu pamoja na kukupa tanki la lita elfu moja au elfu mbili tuwasiliane kupitia namba 0659839446
1. Elfu 70 ni kwa mita moja..??
2. Pampu aina gani..??
3. Fundi mwenye qualifications zipi..?
4. Pampu inakuja na controls zake..??
 
Kwa gharama hizi, kusingekuwa na shida ya maji maeneo mengi
 
Kesho njoo unichimbie mita 80, tank na pump hivyo ninavyo.
 
Labda umesahau sifuri kadhaa hapo mwisho. Yaani toka milioni nne mpaka tano wanayo chaji kwa sasa mafundi wengi mpaka elfu sabini!? Vipi mnachimba na majembe, na hilo tanki ni la mianzi!?

hiyo ni kwa mita
 
nimepga Simu sasa hiz,wako gongo LA mboto,elfu sabini ni mita moja kama maji yapo mita 80 zidisha Mara 70000 ni 5,600,000 watakupa pampu na tenk.alamsiki
 
Mimi nipo Dodoma mjini. Survey nimeshafanya je mtachimba kwa gharama zipi. Inatakiwa mita 120 ili kupata maji ya kutosha.
 
Mkuu hii 70,000 ni urefu wa mita ngapi?

Mhh.makubwa wasije kuwa wakina yahaya

Khaa!! Labda elfu sabini kwa futi moja :spy:

Kwa bei hiyo kila mtu angekuwa na kisima chake

Sijui ni utani wa namna gani huu! Hii sasa ishakuwa sehemu ya utapeli na utani. Hivi elfu sabini si ni gharama ya kusafirisha equipments kwenda site?

Acha utapeli kaka, utani wa milioni 50 kila kijiji huo

Haya nayo ni maajabu mengine!

Kutangaza biashara huku ukiwa nyuma ya ID feki si jambo njema
Ni kampuni au ni kikundi?

1. Elfu 70 ni kwa mita moja..??
2. Pampu aina gani..??
3. Fundi mwenye qualifications zipi..?
4. Pampu inakuja na controls zake..??

Kwa gharama hizi, kusingekuwa na shida ya maji maeneo mengi

Samahanini wakuu kwa kuwa changanya mimi binafsi ni binadamu nilipitiwa baadhi ya details siku ziweka ipo hivi,
Tunachimba elfu sabini kwa mita moja na hii bei ni kwa wale waliopo dar es salaam ila kwa waliopo nje ya dar es salaam tunachimba laki moja kwa mita moja na pampu tunazotumia ni aina ya Doyin na inakuja na control box yake
Kabla hatujaja kuchimba unatakiwa ufanye ground water survey ambayo sisi tukija tuta fanya reference kwenye ya report ya survey then tutakufanyia kazi au kama hutaki gharama hizo za kufanya survey una weza kumuu liza mtu aliye kuzunguka karibu yako aliyechimba kisima hapo yeye alichimba kwa mita ngapi then sisi tukija tuta reffer kutoka kwake ila tutaongeza mita kadhaa kwenda chini kuliko yeye, Asanteni na karibuni saana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom