Bila sheria mambo hayaendi kila kitu kipo kwa mujibu wa sheria, sheria ndio kila kitu kila sehemu na kila idara lazima iwe na mwanasheria bila sheria hakuna amani kwani watu wangekuwa kama wanyama hivyo sheria ni muhimu sana tatizo labda wingi na ajira chache !! Serikali kisheria, kodi kisheria...
kwani unaomba kazi kwa leaving au academic? navyojua ni academic na tofauti yoyote inafanyika kwa kuapa kwa kamishina wa viapo hakimu au wakili haya hima nenda !
Mi nadhani taaluma iyo ni njema kama itatumiwa lakini uongozi jeshi la polisi haufuati elimu ila ukiwa na refa mambo shwari ndo mana wasomi wanachukiwa na hawataki ushauri.
Mke akiwa mdogo zaidi ya miaka 10-15 ya mwanaume inapendeza sana kwani wanawake wakifika umri zaidi ya 40 tayari wazee lakn dume hazeeki mpaka kufa anakuwa na nguvu kutoa watoto !
Ivi karibuni jeshi la polisi limeanzisha Diploma in Police science je hii itasaidia kuweka polisi kwenye perfomance nzuri au wameanzisha kwa nia ipi ? Polisi ina wasomi wengi lakn sio wataluma hiyo na kwenye utendaji kuna uoga mwingi hakuna anaejiamini toka IGP - PC ndo maana unakuta migongano...
Vyama vya siasa nchini Tanzania tangu vianze vimeleta demokrasia hasa ktk uhuru wa kutoa mawazo, raia kujua haki zao nk lakini lengo kubwa nafikiri ilikuwa pamoja na hayo kumletea mawananchi maisha bora jambo ambalo halijafanyika ipasavyo na ili unuse harufu ya maisha bora ni lazima uwe member...
Wazungu mara nyingi wanatumia udhaifu wetu kwenye mikataba angalia hata zamani za ukoloni mtemi wa morogoro alisaini mkataba bila kujua madhara yake makubwa lakini sasa sio kwamba hawajui ila ni RUSHWA !
Nchimbi, IGP, Chagonja na kamanda wa Iringa na kwa ujumla polisi yote kinachowaharibia sana ni kuendesha mambo ki amri amri tu bila kutumia weledi kwa sababu polisi kuna wataalamu wengi lakini sio wa upolisi wapo wahasibu kibao, wahandisi kibao, sociology kibao, sheria kibao, diplomasia wengi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.