Kumjuwa na kumsoma mwanamke sura yake | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumjuwa na kumsoma mwanamke sura yake

Discussion in 'Jamii Intelligence' started by MziziMkavu, Sep 6, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 6, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280

  [​IMG]  Kumsoma mwanamke sura

  Kujua au kuweza kumsoma mtu kunaweza kukupa dalili nyingi nzuri zakuweza kumfahamu undani wake kimapenzi.


  Nywele Changa (HAIRLINE)
  Zikiwa zimejikunja zinaashiria kuwa u Mtu huru mwenye kupenda kutoa amri ambae unahamasishwa na mawazo ya kibiashara.


  NYUSI (EYEBROWS)
  Nyusi zikiwa nzito (Thick)
  unajikuta ukivutiwa na vitendo, matukio na ni mwepesi wa kuhadaa watu. Inakuwia vigumu kuwa na uhusiano wa kudumu na Mtu mmoja.


  Nyusi zikiwa nyembamba (Thin Eyebrows)
  inaonyesha wewe ni mtu asiyekuwa na hamu ya mapenzi. Nyusi zikiwa nyambamba kwa sababu ya kuzitinda basi ukweli wako wa ndani huwa unajificha na vile unavyoonekana.


  Nyusi zikiwa zimekaribiana kulia na kushoto (Close-set)
  Basi wewe ni Mtu mwenye wivu.


  Nyusi zikiwa ziko mbalimbali kulia na kushoto (Wide-set)
  Wewe ni mtu unaeweza kudhibitiwa na mwenye haya


  Nyusi zikiwa zimechongeka (Curved)
  Wewe ni Mtu mwenye hisia kali za ngono.


  Nyusi zikiwa na shepu ya pembe tatu (Triangular)
  Ni mtu mwenye kuridhika na urafiki kuliko uhusiano wa kimapenzi.


  Nyusi zikiwa zimenyooka (Straight)
  Ni mtu mwenye kupendelea kuw na matayarisho mengi katika kujiandaa kufanya mapenzi .


  Nyusi zikiwa zimeungana kulia na kushoto (Monobrow - two brows joined).
  Ni mtu mwenye kupenda mateso au maumivu yakichanganyika na raha au maumivu ya kiakili.


  MACHO ( EYES)
  Macho yakiwa yamepinda kwa Juu (Upwards slanting)
  Ni mtu mwenyekupenda kucheza na watu lakini ni mtu mwenye hasira kali na za haraka ambae unaweza kusita kufanya lolote au kukataa moja kwa moja.


  MACHO MAKUBWA NA MVIRINGO (Large and round)
  Ni mtu mwenye hisia kali za kimapenzi, mwenye kuweza kurubuniwa kwa urahisi na tabia za kujipendekeza kwa watu.


  MACHO MADOGO SANA (Very small eyes)
  Hii ni Onyo kwa watu kwamba wewe ni mtu mwenye wivu mno, lakini ni mtu makini kwa kila kitu.


  MACHO YENYE KUCHOMOZA (Protruding Eyes)
  Inaashiria kwamba wewe ni mtu usiejali na ni mtu mwenye kupenda kufanya mapenzi ya vikundi.


  MACHO YALIYOZAMA (Deep-set)
  Ni mtu mwenye kupenda mahusiano mengi ya kimapenzi kabla ya kutulia na mpenzi mmoja wa kudumu no mwenye kupenda uwazi na mapenzi ya haraka.


  Mistari midogo myembamba chini ya macho (Small thin lines running under the eyes)
  Hii inaonyesha ni jinsi gani ulivyo mchangamfu na menye hamu ya mapenzi. Watu wa iana hii wengi wao huwa ni watu wafanyao mapenzi wa jinsia moja.


  PUA (NOSE)PUA NDEFU INAYO TEREMKA CHINI (Long downwards sloping) (Roman)
  Ni watu weneye uwezo mkubwa katika matukio ya kimapenzi na wala hawajali mfumo wa kawaida.


  PUA yenye mabonde mabonde (Bumpy)
  Ni mwenye kuweza kudhibitiwa kwa urahisi katika masuala ya kimapenzi na mara nyingine kutokuwa na maamuzi.


  PUA iliochongoka (Snub nose)
  Ni mtu asikyekuwa na satrehe za kimapenzi kama itakikanvyo.


  PUA iliyopinda (Crooked)
  Unatakiwa uchukuwe tahadhari kwani wewe ni mwenye kumuamini mtu sana .


  KINYWA MOUTH
  Kinywa Kidogo (Small)
  Ni mtu asiyekuwa mtegemezi na ni mkakamavu kitandani, mvumbuzi na mwenye kufika kileleni haraka katika mapenzi.


  Kinywa kikubwa kilicho jaa (Large and full)
  Ni mtu mbinafsi lakini mkarimu. Ni mwenye kupenda uhusiano usiokuwa wa kawaida bora tu awe anapendwa , na mwenye kupenda kuchukua muda wake awpo kitandani.


  Kinywa kilicho pinda (Crooked):
  Ni mwenye vituko vingi lakini anapenda kuzungumza sana awapo kitandani. Mara nyingi huwa na mpenzi zaidi ya moja.


  Mdomo mnene wa juu (Thick upper lip)
  Ni asiyejiamini lakini hodari wa kutongoza.


  Mdomo mnene wa chini (Thick lower lip)
  Mara nyingi ni watu wanaopenda kuchagua watu wasiokuwa waaminifu na kuishia pia wao kutokua waaminifu.


  NYWELE (HAIR)
  Nywele zilizotawanyika (Sparse Hair)
  Uwezo wa watu hawa katika mapenzi ni mkubwa lakini matamanio yao ni yakubadilika-badilika, ni watu makini sana na wenye kutaka uthibitisho wa kimapenzi.


  Nywele zilizo jaa (Hirsute Hair)
  Ni watu imara na wenye nguvu na wanaweza kuwa washindani sana katika mapenzi. Hamu yao ya Mapenzi huwa ni ya kawaida.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Sep 9, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,874
  Likes Received: 6,228
  Trophy Points: 280
  sidhani!
   
 3. Annael

  Annael JF-Expert Member

  #3
  Sep 10, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 13,370
  Likes Received: 10,461
  Trophy Points: 280
  Nadhani hapa mimi binafsi ningependa kupata mifano halisi.
  Maana kunavitu vingi sana vinavyoweza kuchangia tabia ya mtu kubadilika ikiwamo mazingira.
  Sijajua mwazilishi wa mada hii ulikuwa umejikita katika nyanja ipi. Je ni kidini, kisayansi au kihistoria.
  Mimi binafsi sipingi wala sikubali bali ninachotaka nimaelezo ya kina yenye na mifano halisi.
   
 4. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #4
  Sep 10, 2012
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Sidhani
   
 5. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  hata mimi sidhani halafu ungeweka picha kwa kila kimoja ungesaidia sana.
   
 6. Iron Lady

  Iron Lady JF-Expert Member

  #6
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 4, 2008
  Messages: 4,077
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  sahihi kabisa ulivyosema.
   
 7. M

  Makwarukwaru Member

  #7
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 10, 2012
  Messages: 66
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Nimependa maelezo yako japo sijajua umeyajenga katika msingi gani?
   
 8. Nivea

  Nivea JF-Expert Member

  #8
  Sep 11, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 7,449
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  uongo kabisa
   
 9. w

  wikama Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 83
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Naona jamaa kaeleza mambo mengi vema ila aweke na picha za maumbo hayo !
   
 10. tz1

  tz1 JF-Expert Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Mar 19, 2011
  Messages: 2,118
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  Mifano ya mweka mada ni ya watu weupe.jf wanzungu wangapi?
   
 11. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #11
  Sep 15, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,355
  Trophy Points: 280
  kuna sista namfahamu sura yake ipo kama ya huyu wa katikati siku zote saa zote.Sijui tutamhukumu vipi?
   
 12. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #12
  Sep 15, 2012
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hata mimi
   
 13. HAZOLE

  HAZOLE JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 1,333
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  mzizi leo umekunywa chibuku au mbege???
   
 14. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #14
  Sep 19, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,616
  Likes Received: 4,616
  Trophy Points: 280
  Kwanini umeniuliza hilo Swali? mimi sio mlevi mkuu HAZOLE Did you mean to say? ( mzizi leo umekunywa chibuku au mbege???)
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #15
  Sep 19, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Thankssss!
   
 16. D

  DaPilly Senior Member

  #16
  Sep 21, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 146
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Na kwa nini mada hii ni kumjua mwanamke pekee?
   
 17. nipeukweli

  nipeukweli JF-Expert Member

  #17
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 16, 2012
  Messages: 436
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  i wish ningeona picture za hayo maumbile mbalimbali ili niweze kucompare na uhalisia unaonizunguka. I believe unaweza kuzipata, au sio mdau....
   
 18. mtemiwaWandamba

  mtemiwaWandamba JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 536
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  Mkuu Mzizimkavu,
  Rudi hapa na utuwekee vielelezo vya picha ili tujue ipi ni nyusi mchongoko na ipi mpindisho .
  Ni vizuri zaidi ukituwekea za Wadigo
   
Loading...