Acha kudanganya watu. ametolewa kifungo cha gerezani na kupewa kifungo cha nje yaani afanye kazi za jamii.hajakata rufaa yoyote.ni taratibu za kimahakama baada ya kufanya mapitio ya hukumu.
kwanza tutambue mtikila anayo haki ya kufanya alichokifanya.na pili tuelewe Serikali haina dini kwnn kulazimisha kuweka mambo ya mahakama ya kadhi ktk katiba wakati katiba hii inajumuisha watu wenye dini tofauti tofauti?
watanzania tulinyima ufahamu basi.lkn wakati ukifika ukweli utakujaga patikana.tunapandikizwa chuki na mitandao tu na tulivowajinga tunaamini.iki chama kina ukabila ukweli utabaki palepale.kutaka uenyekiti wa taifa ndo kulikomfikisha hapa zitto. wanaotenda madhambi makubwa ya kutafuna ela za...
Mimi narudia mwisho wa chadema ni uchaguzi wa mwaka huu. Iki chama kitapotea hamtaamini. nilikipenda sana iki chama lkn kwa upuuzi huu basi. mtu kuomba kugombea u/kt kosa? haya mengine yooote ni uzushi mtupu.sababu kuu ndo hiyo. Yamesemwa mengi ya Mboe mbona kimya? Silaa vp kujikopesha Ruzuku ya...
Mwisho wa chadema ni uchaguzi wa mwaka huu basi.Tatizo wanachama wake wamekuwa mbumbumbu hawawezi kujiongeza
tafuta chanzo cha huu mgogoro ni nn? yalisemwa mengi kuhusu ufujaji wa pesa je ukweli umetafutwa? kuhusu ukabila ni uongo top layer? watafukuzwa wengi na ndo mwazo wa kufa.hao wanaojidai...
Ni upuuzi mkubwa.Hawa ndo wale anatongoza mwanamke anamwambia kwnn unikatalie mbona fulani ulimkubalia.ndo akina Ngeleja.si angepeleka ushahidi? huo ni utetezi kweli yeye akiwa kama mwanasheria?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.