Msilikizeni Zitto Kabwe, Clouds FM muda huu

Status
Not open for further replies.
watanzania tulinyima ufahamu basi.lkn wakati ukifika ukweli utakujaga patikana.tunapandikizwa chuki na mitandao tu na tulivowajinga tunaamini.iki chama kina ukabila ukweli utabaki palepale.kutaka uenyekiti wa taifa ndo kulikomfikisha hapa zitto. wanaotenda madhambi makubwa ya kutafuna ela za ruzuku ndo wanaonekana wasafi. mchaga hafanyi kitu kwa hasara ukweli utakujaga julikana baadae. mm nadhani nguvu ingetumika kuulizia matumizi ya pesa ya ruzuku na izo wanazojikopesha lkn hamna mtu anayeona hayo tumepumbazwa tu. Zitto c sawa na Sugu,lema huyu popote hata nje ya siasa ataishi tu. mtu anauliza upo ushahidi wa tuhuma zoote za Zitto anasema ziliwekwa ktk mtando basi akili yake imeishia hapo hawezi kujiongeza. tusubiri october muone anguko.
 
Mwanaume muda siyo mrefu atauguruma kwenye spika za Clouds muda huu. Mtanzania msikilize mwanaharakati SIMBA wa nyika mpenda watanzania na
mpigania haki za wanyonge.

Hilo neno mwanaume linatia ukakasi
 
Zzk ni mashine sana na Mimi namkubali ile Mbaya watu ameshawaambia watoe ushahidi wameshidwa kuthibitisha wanakalia kuwakumbatia hawo wachaga wanakula hela zetu za kodi tuu
Katangaza kugombea urais ikawa nogwa hiki chama kitafedheheka sana uchaguzi ujao na watashangaa
 
Zitto zitto...kwani zitto alizaliwa na chadema???...chama kwanza...ccm mchukueni basi..aaaagrrrrrrr
 
una mahaba na wanaume wewe! we ni mwanamke wake??? kama ni mwanaume una tatizo huwezi msifia mwanaume mwenzio hivyo. hata hivyo sisi wanaume rijali hatushoboki na zitto tumeisha mwaga aende act au ccm anag'ang'ania nini CDM???

Back
Top Bottom