NyakaiIkagogo
Senior Member
- Nov 5, 2013
- 182
- 46
Hivi BAVICHA bila kutoa povu siku kwenu haiwezi pita?Siasa za leo ni kushindana kwa hoja, wala siyo uandishi wa Riwaya usio na ushahidi kama unavyo jaribu kuhadaa Watanzania.Zitto hana nyumba hata moja Kasulu, sijui majumba hayo mawili ya kifahari umeoteshwa na Chagadema?