Mishahara ya Polisi ya mwezi wa pili

Mishahara ya Polisi ya mwezi wa pili

anakuzingua anakopa hela akitegemea mshahara kwan hajui selikar mfiris
 
Wakuu poleni na majukumu!

Kuna jamaa mmoja tunaishi naye mtaani hapa ni askari polisi.Tarehe 2 mwezi wa pili aliomba nimkopeshe fedha kiasi na akaniambia angeirejesha mapema maana wanalipwa mshahara katikati ya mwezi na mwisho wa mwezi.

Ilipofika katikati ya mwezi nikaona kimya nami nikapiga kimya,Mwisho wa mwexi umefika nikaona kimya jana nikaamua kumuuliza akasema bado mishahara yao ya mwezi wapili haijaingia.Naomba kuuliza kwa wanaojua ni kweli haijaingia au tayari maaskari wameshapata mishahara?

Assnteni wakuu

Hivi kuna polisi nchi hii anayetegemea mshahara kweli? Kama kuna polisi waadilifu wanisamehe bure, ila asilimia kubwa wanapiga deal. Muulize huyo polisi wako yupo kitengo gani. Kupitia kitengo chake utajua kama kweli hana au fix.
 
hivi unaanzaje anzaje kuwa na uswahiba na afande....tena inafikia hadi unamkopesha kabisa.!!!!!!????... NOT IN TANZANIA ....tulia ushanyolewa wewe... na huo mshahara/posho ya kati ya mwezi nayo ilicheleweshwa ikakutana na monthly salary ama ni vipi!?
 
Mishahara ya polisi imetoka juzi 02/03/15.....kama ni mlipaji atakulipa.
 
Wakuu poleni na majukumu!

Kuna jamaa mmoja tunaishi naye mtaani hapa ni askari polisi.Tarehe 2 mwezi wa pili aliomba nimkopeshe fedha kiasi na akaniambia angeirejesha mapema maana wanalipwa mshahara katikati ya mwezi na mwisho wa mwezi.

Ilipofika katikati ya mwezi nikaona kimya nami nikapiga kimya,Mwisho wa mwexi umefika nikaona kimya jana nikaamua kumuuliza akasema bado mishahara yao ya mwezi wapili haijaingia.Naomba kuuliza kwa wanaojua ni kweli haijaingia au tayari maaskari wameshapata mishahara?

Assnteni wakuu
Ni kweli ilichelewa kuingia kwa zote isipokwa CRDB
 
Hivi kuna polisi nchi hii anayetegemea mshahara kweli? Kama kuna polisi waadilifu wanisamehe bure, ila asilimia kubwa wanapiga deal. Muulize huyo polisi wako yupo kitengo gani. Kupitia kitengo chake utajua kama kweli hana au fix.

Kuna mmoja nilisafiri naye alikuwa amehamishiwa Chalinze akitokea mikoa ya kusini, nikamwambia umehamishiwa eneo lenye pilikapilika nyingi kwahiyo work load inaongezeka, akasema "alhamdulillah, chalinze si haba, maana kuna magari yatokayo kaskazini, kusini nyanda za juu, kanda ya ziwa na magharibi lazima yapite hapa", nikachoka maana mie nilizungumzia uwajibikaji kumbe mwenzangu tafsiri imeelekea kwenye maslahi
 
Bwana mkubwa utakuja kujuta kuweka mazoea na polisi na huyo jamaa endelea kumfuatilia siku ya siku utajikuta wewe ndio anakudai
 
Ndio maana nikauliza swali lile,maana kama unasafiri kwa barabara kuu, ni mchango kila baada ya km kadhaa kwa hawa jamaa. Ukibeba mkaa shida, ukibeba bange ndo kabisa wanakusindikiza hadi uendako, ukipika gongo basi wewe ni rafiki yao, Mungu aepushie mbali.
 
Wakuu asanteni sana nimesoma michango yenu kwa umskini mkubwa.Hakika nami sitorudia tena.Nifawapeni mrejesho wakuu
 
Bwana mkubwa utakuja kujuta kuweka mazoea na polisi na huyo jamaa endelea kumfuatilia siku ya siku utajikuta wewe ndio anakudai

Mkuu nimekupata vema sana.Ushauri wako nitaifanyia kazi mkuu
 
ulimkopeshea hapa jf? na ulipotaka kumpa uliuliza hapa jf?

Mkuu wewe ni mmoja wao?.Ebu jitahidini kuishi na jamii vema kama watu wengine.Ona kuna watu sasa wanafikia kusema ukimpangisha au kumkopesha askari ni tatizo!!
 
Back
Top Bottom