Recent content by Wide Open EYES

  1. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini uzazi umekuwa wa shida hivi? Na nini kifanyike?

    damtanzania kwa ufahamu wangu mdogo nilionao kabla ya kutumia kinga daktari anapaswa ajue historia yako ya kiafya na kuna vipimo anatakiwa akufanyie. Watu hawana habari hiyo, vidonge vinanunuliwa kama lawalawa kwenye maduka ya dawa na mtu yoyote yule. Hakuna elimu wala udhibiti kwenye matumizi...
  2. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini uzazi umekuwa wa shida hivi? Na nini kifanyike?

    Mkuu damtanzania hizo dawa ni majanga, hazilipi hata ukipewa na hela juu. Zimeharibu afya za wanawake wengi sana lakini tunaendelea kuzitumia.
  3. W

    JamiiForums Tanzania Kuzaa mtoto wa kiume chini ya wiki 40

    Karibu monaco nchi za wenzetu mtoto wa wiki 24 anazaliwa na anaishi. Hili siwezi kuthibitisha nikiona kwenye tv.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kuzaa mtoto wa kiume chini ya wiki 40

    monaco Nina watoto mapacha wa kiume na wa kike walizaliwa wiki ya 37 ninavyoandika hapa ni watu wazima wako kidato cha tano.
  5. W

    JamiiForums Tanzania This is the other side of Dubai

    Mbona huku nyumbani kuna gheto za kutosha chumba kimoja wanaishi mtu 20. Maisha ya aina hii yako dunia nzima
  6. W

    JamiiForums Tanzania Kuzaa mtoto wa kiume chini ya wiki 40

    Sio lazima kuna wanaozaliwa wiki ya 37 na wengine wiki ya 42 na wote wanakua vizuri tu.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kuzaa mtoto wa kiume chini ya wiki 40

    Sio lazima kuna wanaozaliwa wiki ya 37 na wengine wiki ya 42 na wote wanakua vizuri tu.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Kwanini uzazi umekuwa wa shida hivi? Na nini kifanyike?

    Kuna tangazo la uzazi wa mpango linalohamasisha wasichana wadogo kutumia uzazi wa mpango. Hii ni kujenga au kubomoa?
  9. W

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua, wapiga deal CCM wameondoka wote?

    Huyu labda afe, katibu wa bunge amemteua mwenyekiti kusimamia uchaguzi na kiapo cha spika bunge la 11. Sioni dalili ya huyu nyoka kuacha kuangaza makengeza kuona ziliko pesa za watanzania walala hoi.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Bi mkubwa anagombana sana na mdogo wangu

    Na hawa hawatakawia kuanza kumlaumu mama, wiki moja tu kashaanza kuzurura!
  11. W

    JamiiForums Tanzania Nimemkopesha pesa, baada ya kunipa penzi kagoma kunilipa

    Halafu ndingi mwana nzeki alipokuwa anasubiriwa n mume wake, iliwachukua muda gani kumaliza kumtia? Bado nashangaa na kujiuliza maswali mengi mno.
  12. W

    JamiiForums Tanzania Nimemkopesha pesa, baada ya kunipa penzi kagoma kunilipa

    Haya mambo ya uzinzi yanaelekea kusikojuĺikana, mimba ya miezi 7 siyo yako wewe unaenda naniliu bila woga! Kwanza mlivaa condom? Inashangaza sana
  13. W

    JamiiForums Tanzania Anasema nimuamishe alipopangishiwa na mpenzi wake na nimpangie sehemu nyingine ili tuwe huru!

    Yaani wewe ndio tatizo kubwa, unataka kujitafutia matatizo mwenyewe! Shida kweli kweli.
  14. W

    JamiiForums Tanzania Kweli harusi sasa zinazidi kututia umasikini

    Hadi ubarikio ni noma.
  15. W

    JamiiForums Tanzania Changamoto zetu sisi madereva wenu wa daladala

    Kutokuvaa uniform, kutoka nje ya mstari aka overtaking kushoto, kukatiza route, mashindano ya kifala na madereva wengine wa daladala, kwa kifupi mengi mnajitakia wenyewe.
Back
Top Bottom