monaco
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 2,184
- 1,761
Habari Wadau wa Afya..
Natumaini humu kuna madaktari na wakunga labda.
Inawezekana swali langu limeshaulizwa but mnaweza kunisahihisha pia.
1.Hivi Mtoto wa Kiume ni Lazima azaliwe akiwe zaidi ya Wiki 40?
Namaanisha tumezoea watoto wa Kiume kuzaliwa si chini ya wiki 40.
Wa kike 36-38.
Je ni kweli ipo hivi?Na Hii inasababishwa na Nini? Kama uzito unakuwa hujafikiwa?
2.Kama Mtoto atazaliwa kwa Operesheni kuna Mahusiano ya idadi ya wiki za kuzaliwa na Jinsia ya mtoto?
yaani kama ni Mtoto wa kiume...ni lazima afikishe wiki 40 au zaidi?
Ahsante