damtanzania
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 752
- 1,464
Hali zenu wadau,
Hakuna asiye jua kuwa siku hizi kushika mimba Ni issue, wanawake wamekuwa wakihangaika mahospitalini na Kwa waganga yote hii ili kunusuru ndoa zao Kwa kuwapa wenza wao watoto. Kila kona watu wanalia, tumekosea wapi? Tufanyeje kurekebisha hili? Na Ni akina Nani Ni mabingwa Wa matatizo Haya( hii itawasaidia kuwapa solution wale wenye matatizo Haya)
Nawasilisha kwenu.