Recent content by wickerman

  1. wickerman

    Kutoa Pesa Payoneer Kuja Bank nitumie NMB au CRDB

    Zote should be possible. Inabidi tu kuweka correct details za SWIFT Code ya Bank na Account Number yako. SWIFT CODES: 1. CRDB - CORUTZTZXXX 2. NMB - NMIBTZTZXXX
  2. wickerman

    Nahitaji Line Ya Safaricom kwa ajili ya kutumia Paypal

    Kama it's possible kupokea hayo malipo kwa njia tofauti na PayPal. I would recommend uangalie alternative kama Payoneer au Grey. I've personally used Payoneer and pesa inafika mpaka kwenye account ya local bank. For Grey, I know people wanaopokea malipo nayo. Kama ni lazima iwe PayPal. Basi...
  3. wickerman

    Swali la kizushi: Hivi ni mimi tu au kwenye simu hakuna emoji ya mtu alievaa headphones?

    Nimeamua ku-skip google kidogo maana ni kitu sikutegemea. Nimeshindwa kupata emoji iliyovaa headphones. Nikashtuka kidogo. Naomba kuuliza kwa wenzangu kama nyie kwenu ipo? Uzi Tayari.
  4. wickerman

    Watumiaji wa Elasticsearch

    Mzee baba... Dah! Elasticsearch sio database kama hizo ulizotaja. Ambazo mainly ni SQL elasticsearch ni NoSQL kwasababu haina structure na inaweza pokea structure yoyote. Na Pia ukiona unatumia elasticsearch kama DB tu... Pengine ni vizuri kurevisit use case yako kuangalia kama ni sahihi...
  5. wickerman

    Ipi simu nzuri kati ya Xiaomi vs Tecno vs Infinix

    Hutajutia kuchukua Xiaomi. Nimekuwa fan wa samsung note kwa muda mrefu kidogo. Note yangu ya mwisho ilipo pasuka kioo, nilinunua simu mpya lakini kipindi hichi nilichukua Xiaomi Mi A3. Aisee hii simu ni balaaa... Kuanzia camera, inavyokaa chaji na performance. Huwa natumia sana internet, kwahyo...
  6. wickerman

    Unasubiria kila kitu kikae sawa? Utasubiria sana

    Kama kuna kitu kinaturudisha watu wengi nyuma ni kusubiria mpaka vitu vyote vikae sawa ndio tuanze kufanya kitu fulan. Ngoja hiki kiwe hivi ndio nifanye hivi zimekuwa nyingi sana. Siri ni kuanza tu, kwa namna yoyote, iwe kwa ukubwa au udogo, ila anza leo. Kidogo kidogo utafikia unapohitaji...
  7. wickerman

    Changamoto za Foreign Exchange

    Habari Wakuu, Binafsi kwenye swala la kubadilisha fedha za kigeni lilikua lina nichanganyaga kujua Zile Rates zina ku-affect vp. Sell rate inatumika muda gani na Buy Rate inatumika muda gani. Ila baadae nilielewa. Wewe huwa unapataga changamoto gani unapotaka kubadilisha fedha za kigeni kwenye...
  8. wickerman

    [SURVEY] Exchange Rates na Fedha za Kigeni

    Habari Wakuu, Binafsi kwenye swala la kubadilisha fedha za kigeni lilikua lina nichanganyaga kujua Zile Rates zina ku-affect vp. Sell rate inatumika muda gani na Buy Rate inatumika muda gani. Ila baadae nilielewa. Wewe huwa unapataga changamoto gani unapotaka kubadilisha fedha za kigeni kwenye...
  9. wickerman

    Bank ipi ni afadhali kati ya NMB na CRDB katika makato

    Inategemea na account. Kama ni mwanafunzi wa chuo Unahitaj account kwa Ajili ya kupokelea boom, nenda CRDB. Utapokea mapema zaidi.
  10. wickerman

    Pesa binafsi, usimamizi wa pesa, biashara na utajiri

    Kuna vitu unaweza ukawa unavifanya bila kuvisoma sehemu. Ila siku ukivisoma ukijiangalia unaona kuwa tayari ulikua unafanya kama hivyo. Sio kila elimu inapatikana darasani, haswa elimu ya pesa.
  11. wickerman

    Pesa binafsi, usimamizi wa pesa, biashara na utajiri

    Nimesoma hii makala sehemu moja huko kwenye intaneti nikasema sio mbaya kama nikiitafsiri ili iweze kueleweka kwa wote, pia nimebadilisha baadhi ya mifano kuendana na mazingira yetu, maana imenigusa kwa namna fulani. Nimeambatanisha PDF ya nakala zote mbili ya kiingereza na kiswahili...
  12. wickerman

    Forex: Biashara Haramu kwa Muislamu

    Mwenyewe nilifatilia hilo swala kwa kadri ya uwezo wangu. Ukweli ni kwamba inabidi ukubali fact za dini bila kuingiza hisia zako. Mimi huwa nasoma sana hadith (Sahih Bukhari) na jambo la kwanza kabisa mwanzoni wakati najua kuhusu forex, nilisema niende kuangalia nini hadith za Mtume zinasema...
  13. wickerman

    Tanzanian made clean animations

    Good Guy , Umeimprove sana art yako man. Big ups
Back
Top Bottom