Unasubiria kila kitu kikae sawa? Utasubiria sana

wickerman

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2011
Messages
412
Points
225

wickerman

JF-Expert Member
Joined Dec 12, 2011
412 225
Kama kuna kitu kinaturudisha watu wengi nyuma ni kusubiria mpaka vitu vyote vikae sawa ndio tuanze kufanya kitu fulan. Ngoja hiki kiwe hivi ndio nifanye hivi zimekuwa nyingi sana.

Siri ni kuanza tu, kwa namna yoyote, iwe kwa ukubwa au udogo, ila anza leo. Kidogo kidogo utafikia unapohitaji. Mfano, sio mpaka upate pesa nyingi ndio upendezeshe sehemu ulipo, unaweza tumia pesa kidogo ukanunua hata kitu kimoja ukaweka ndani paka pendeza, kidogo kidogo mwisho wa siku hali inakua imebadilika kabisa.

Mfano, Unaweza nunua kaua kadogo ukaweka kwako pakaleta mvuto tofauti bila kutumia pesa kubwa. Hata kama uko mbali, mfano mkoani, utatumiwa, muhimu maelewano tu. Kwa mjini hapa utaletewa ulipo bila kulipia ziada yoyote.

20200119_181723_0000.png


Ukitaka kucopy na kupaste namba ni:
0743 439 319 (Voda)
0653 994 194 (Tigo)
0688 793 307 (Airtel)
 

Forum statistics

Threads 1,392,192
Members 528,564
Posts 34,101,178
Top