Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,039
Siku nyingine unapolinganisha simu usichanganye na redio kama tecno,infinix na itel
Sent using IPhone X
Sent using IPhone X
Mkuu ungesema Oppo ningekubaliana nawe , by the way Xiaomi for my research it's the best smartphone u cannot compare with Tecno and Infinix ...Xiaomi all the way....hiyo ndo iphone ya China! Ndo maana hata huku kwetu wachina wamechelewa sana kutuletea. Ni very high end smartphones!
Sent using Jamii Forums mobile app
hii kwa tz ni bei gani mkuu?Hutajutia kuchukua Xiaomi. Nimekuwa fan wa samsung note kwa muda mrefu kidogo. Note yangu ya mwisho ilipo pasuka kioo, nilinunua simu mpya lakini kipindi hichi nilichukua Xiaomi Mi A3.
Aisee hii simu ni balaaa... Kuanzia camera, inavyokaa chaji na performance. Huwa natumia sana internet, kwahyo data kilaa saa iko on. Na mara nyingi huwa naingia kwenye browser kusearch vtu na kudownload files tofauti tofauti n.k
Lakini kama hii screenshot hapa chini, cmu inakatiza siku 1 na masaa 12 bado iko 14% since last time nimecharge to 100%.
View attachment 1363467
Hapo ilipopanda kdogo, nilikua nacopy mafile kutoka kwenye PC kwa muda kama 7 minutes. Hii picha nyengine hapa inaonesha matumizia ya data kwa mwezi wa dec,2019 mpaka jan,2020.
View attachment 1363494
Kwenye camera, hizi ni baadhi ya picha nilizowahi piga kutumia hii simu.
View attachment 1363504
View attachment 1363505
View attachment 1363507
View attachment 1363509
Xiaomi wanatengeneza simu quality sana. Sidhan kama utaweza ilinganisha na tecno a.k.a infinix kwa kipindi hiki.
Phone: Xiaomi Mi A3
Tecno na ifinix sawa na kirusi cha corona
Asante mkuu na vp kuhusu oppaShida ni kuwa unalinganisha simu (Xiaomi) na huu upuuzi unaitwa Tecno/Infinix/Itel
Sent using Jamii Forums mobile app
Maana yakoo nnShida ni kuwa unalinganisha simu (Xiaomi) na huu upuuzi unaitwa Tecno/Infinix/Itel
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuuMkuu hatudharau tecno au infinix,lakini mkuu Xiaomi sio ya kufananisha na product yeyote ya tecno
Kama unahitaji simu za maana kwa reasonable prie chukua OPPO, XIAOMI, SAMSUNG A Series.
Hutajutia kuchukua Xiaomi. Nimekuwa fan wa samsung note kwa muda mrefu kidogo. Note yangu ya mwisho ilipo pasuka kioo, nilinunua simu mpya lakini kipindi hichi nilichukua Xiaomi Mi A3.
Aisee hii simu ni balaaa... Kuanzia camera, inavyokaa chaji na performance. Huwa natumia sana internet, kwahyo data kilaa saa iko on. Na mara nyingi huwa naingia kwenye browser kusearch vtu na kudownload files tofauti tofauti n.k
Lakini kama hii screenshot hapa chini, cmu inakatiza siku 1 na masaa 12 bado iko 14% since last time nimecharge to 100%.
View attachment 1363467
Hapo ilipopanda kdogo, nilikua nacopy mafile kutoka kwenye PC kwa muda kama 7 minutes. Hii picha nyengine hapa inaonesha matumizia ya data kwa mwezi wa dec,2019 mpaka jan,2020.
View attachment 1363494
Kwenye camera, hizi ni baadhi ya picha nilizowahi piga kutumia hii simu.
View attachment 1363504
View attachment 1363505
View attachment 1363507
View attachment 1363509
Xiaomi wanatengeneza simu quality sana. Sidhan kama utaweza ilinganisha na tecno a.k.a infinix kwa kipindi hiki.
Phone: Xiaomi Mi A3
Jamiiforums tunaingia woteKama unahitaji simu za maana kwa reasonable prie chukua OPPO, XIAOMI, SAMSUNG A Series.
Tecno, infinix, itel, kgtel, n.k ni hovyo kabisa. Durability, technology n.k
Sent using Jamii Forums mobile app