Recent content by Whiteday

  1. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mwanachama wa JamiiForums - Jikeshupa amefariki dunia

    Pumzika kwa amani dada na pole kwa wafiwa.
  2. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa inaelekea kunishinda

    Shoga umetania au? Mana hayo maumivu yake ungejua usingesema hivyo.
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa inaelekea kunishinda

    Dada mumeo hukumjua tu toka mwanzo km ni mchepukaji anafanya hivyo toka yupo na wewe hiyo ni tabia yake. Ni bora uelezee kwenu hata siku yakikushinda inajulikana sababu ni nini. Hiyo aibu yako itakuponza utaendelee kuumia maisha yako yotel Kwa mumeo baki kwa malengo yako tu...lakini ndoa...
  4. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa inaelekea kunishinda

    Na hiyo mimba yako ni bora tu uwaambie wazazi wako usifikiri utaweza kuvumilia hili....wambie watamsema hata yeye anaona aibu kuitwa kikaoni sababu ya umalaya. Atatulia au atachapuka kwa akili hutahisi kitu tena. Kuhusu simu utashika tu kama unampenda sababu humuamini tena. Pia ongea nae...
  5. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke usivunje ndoa kisa michepuko ya mumeo

    Wanaume wengi uzi huu umewaboa wameukimbia sbb hawataki kuambiwa ukweli
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke usivunje ndoa kisa michepuko ya mumeo

    Mnachepuka mpk mnashindwa kulala na wake zenu sijui mnapotea hisia au mnarogwa!? Mnaharibu ndoa zenu kwa mikono yenu kwanini msiachwe?
  7. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano yanataka kuniumiza akili

    Kikao kipya kimeamua mbususu iliwe baada ya ndoa...other than that ni umalaya tu WADADA MMESIKIA ?
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimetoka kusuluhisha ugomvi mkubwa wa Mdogo wangu na mke wake

    Wanaume bana mnapenda kufichiwa kila kitu chenu cha aibu....ingekuwa ndo mwanamke hapo mngesema chepuka au mwache huyo hakufai.
  9. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sichepuki Tena. Kumbe ni balaa hivi!

    Hela.
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada wa kazi anajua ratiba zangu kuliko Mke wangu!

    Ulivyosema pia inawezekana ni kujituma ila na vp km kaja kwa malengo yake binafsi? Labda tujue kabila gani huyo msichana kwanza.
  11. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dada wa kazi anajua ratiba zangu kuliko Mke wangu!

    Hajui kuwa kuna housegirls wanakuja nyumba za watu kuvuruga tu ndoa kujifanya wanajua caring kumbe wanawinda.....bora tu afukuze mapema kabla ya kufikwa na aibu.
  12. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake kuweni na ushirikiano kwenye tendo la ndoa

    Mnalalamika sana... Wenyewe mpo hivyo hivyo baadhi yenu tunawastahi tu.
  13. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Haya bwana.
  14. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Revenge: Napeleka kilio kwa binti fulani siku ya kupeleka barua

    Mmmh hayajakukuta....
  15. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tunaomba mlio kwenye mahusiano mtushirikishe jinsi mlivyoboresha mahusiano yenu

    Ni kuacha tu kuchepuka. Mahusiano mengi yanavunjika kwa sababu hiyo. Raha ya mapenzi uaminifu. Happy birthday Dada.
Back
Top Bottom