Mwanamke usivunje ndoa kisa michepuko ya mumeo

Kuchepuka kuna faida nyingi kisayansi.

Make them live longer.
 
Ao wanaosema waNa hofu ya Mungu je tangu wazaliwe hawajawahi kufanya mapenxi je wamefanyia ndani ya ndoa hahaha tukubaliane Yesu ndo pekee aliweza kutokujihusisha na haya mambo
 
Mpaka umeamua kwenda kulala na mchepuko na kumhonga pesa za familia inamaana kuna kitu umeona mkeo hana kipo kwa mchepuko, sasa mke wa ndoa akijua hayo akaamua kuondoka kuwapisha kuwapa Uhuru ili mjiachie na mchepuko Kuna shida gani?

Tena mke wa hivyo muungwana sana. Jiachieni na mchepuko wako Kwanini mfanye kujiiba shauri ya uwepo wa mke wa ndoa?!

Wacha mke wa ndoa akaitafute furaha yake pengine!
 
Unakuta mke wa ndoa kila siku kuna jamaa wanamuimbisha wanampenda kwa dhati ya moyo na akipima kwa marefu na mapana anaona jamaa anamaanisha kumpenda toka moyoni.

Kwa miaka mingi unakuta kuna jamaa anaonesha kimatendo kumpenda lakini mke kwa kule kuwa kuishi kwa imani anaamua kumkataa jamaa na kubaki na mume wake wa ndoa.

Kumbe Mwanaume wa ndoa yeye anajiachia na michepuko na kuzaa nayo,

Mke wa ndoa akijastukia na kupata ukweli unategemea itakuwaje?
 
Na ambavyo mnamind sasa wanawake wakichepuka....huko kuchepuka huwa mnachepuka na wanaume wenzenu eeeeh???
 
Hivi huu ufahamu wa kishetani aliwapaga nani ???

Nani alikuambia kila mwanaume lazima achepuke kama wewe rafiki zako ndugu zako na watu wanaokuzunguka wanachepuka ni hao usije na conclusion zako kutokana na circle yako na stori unazisikia

Msimamo wangu ni huu mwanaume ambaye hana hofu ya MUNGU (mahusiano na Mungu binafsi) huyo kuchepuka ni lazima wala sio hiari ,mwanaume mwenye hofu na MUNGU kamwe hawezi chepuka haijalishi nini

Note:Sijasema wanaoenda kanisani au walokole au wasabato ni wenye hofu ya MUNGU maana unaweza kulala garage usiamke gari.
Period
Well said
 
Sanamu yako tuiweke wapi mkuu
 
Uwe na hofu ya Mungu au ibilisi hakuondoi uhalali wa wewe kuwa mwanaume na mwanaume kuchepuka hata kimawazo ni 22/7 (Pai)
 
Iliwekwa vile ili iwe fundisho kwa sisi kuepuka kufanya vile wao walifanya.

Sababu mwisho wa yale walofanya waliona ni ubatili mtu na sawa na kujilisha upepo.

Stop being a SIMP brother, unapotosha hapa ili kupata uungwaji mkono na feminists ili wakufate PM kwa kukuona kwamba wewe ni mwanaume wa tofauti ili uwachakate papuchi zao. Men will always be men. Na simba hahukumiwi kwa kuunguruma, tumewekeana tu utaratibu wa kuishi ili kupunguza damage kwenye society ila hakuna kosa kuchakata.
 
Sijakuelewa point yako ni nini kwa ufupi?
 
Halafu wengine anachepuka mara mke anawastukia , wanambabaisha mke anaamua kusamehe akizani wameachana kumbe wapi baada ya muda mke anasikia wamezaa mtoto na yule mchepuko

Sasa mke akiamua kuondoka ili ampishe mchepuko aingie ndani muishi myajenge na mtoto wenu Kuna tatizo gani tena?
 
Back
Top Bottom