KWani hao mnaowapatia mitungi midogo ya gesi ya 40,000 una uhakika kuwa wao hawana uwezo huo wa kuinunua?!!fuatiilia mala wamalizapo hiyo gesi ya bure huwa wanaenda kujaza tena?!!mingi huwa wanatupa kule na kuuza wanarudi kule kule kwenye kuni na mkaa..ni utapeli tu!!waondoeeni watu kwanza...
Na hapo mtu deni kwanza ndio bichi na kununua hizo nyumba!!Kwanza hizo nyumba japo chanzo cha moto bado hakijajulikana ila wasipokuwa makini kila mala matukio ya moto yatakuwa yanatoke sana kutokana na nature ya wapangaji wake!!wengi ni wale wenye kipato kidogo siku moja nimemtembelea jamaa...
Cha form 4 au six unadhani kinapatikana ki rahisi hivyo tena kwa umri wao huu!!utengeneze kwanza leaving certificate!!kingekuwa cha taaluma tu ingekuwa rahisi!!
SIki zote zali huwa ni kwa mwebye pesa tu!!masikini ni ngumu!!yaani uache kuuza eneo lako leo usubiri baada ya miaka kadhaa mbelee huku matatizo ndio kila leo yanakua andama!!Hiyo wanaweza wenyenpesa zao
Haya mambo mnasema tu bila kufikiria !!Huko mbekeni likitokea tatizo juu ya hicho kiwanja na muuzaji akatakiwa kurudisha pesa kwa mnunuzi huyo dalali atawajibika vipi kwenye kurudisha pesa aliyochukua?!! Muuzaji ni wewe wala huyo dalali hatausika tena!!tugawane karibia nusu kwa nusu?!!hata mimi...
Mkuu wewe ni mgeni wa dar? mbona ni kitu cha kawaida sana hicho,na LATRA walishasema huo ni ujinga wa ABIRIA,kwani mkubali kulipa nauli ambayo sio halali?na cha ajabu ukionekana mbishi hao hao abiria ndio wataanza kukutukana kuwa kama huna pesa shuka chini!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.