Kota Moja yaungua Moto magomeni

Kota Moja yaungua Moto magomeni

Hzi kota za juzi tu hapa… Duh
Na hapo mtu deni kwanza ndio bichi na kununua hizo nyumba!!Kwanza hizo nyumba japo chanzo cha moto bado hakijajulikana ila wasipokuwa makini kila mala matukio ya moto yatakuwa yanatoke sana kutokana na nature ya wapangaji wake!!wengi ni wale wenye kipato kidogo siku moja nimemtembelea jamaa yangu pale!!mtu anatumia mkaa kupikia ndani nyumba imejaa vitu!!unakuta chumba na sebule ila familia inayoishi humo ni kubwa
 
Upo sahihi pia hizo kota hazina maji. Ni aibu kubwa kwa mradi mkubwa kama huo
 
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza muda huu moto unawaka ktk hizo kotas

Baadhi ya sehemu ya jengo hilo ndio linaugua moto.

View attachment 3406920

Updates.

Mali zote zimeonekana kuteketea katikaApartment namba 0526B ndiyo sehemu ya ghofofa lililowaka moto Magomeni Kota jijini Dar Es Salaam.

Apartment hiyo ipo Block 4 wing B ghorofa ya saba inadaiwa chanzo cha moto ni mtoto kuchoma godoro.

Aidha mtoto mdogo wa miaka mitatu anahofiwa kufariki kwa kuungua na moto katika janga hilo.
View attachment 3407026
basi usikute Mpemba hapo alikuwa anakaangiza maandazi gholofani na jiko la mkaa
 
Back
Top Bottom