Recent content by Whisper

  1. W

    JamiiForums Tanzania NIMR watangaza nafasi ya kazi, muombaji kaishalipiwa visa ya US safari ya kikazi

    Taasisi ya NIMR hivi karibuni kupitia mtandao wa Zoom walitangaza nafasi ya Financial Analyst kwa ajili ya kituo cha Mbeya. Muombaji mmoja wa nafasi hiyo Bwana Damson Lwiva ambaye kwa sasa yuko Mwanza akifanya kazi na taasisi fulani (jina kapuni) tayari amekwisha ombewa visa kwa safari ya kikazi...
  2. W

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Aliyewahi kuwa Mbunge wa Kilindi, Beatrice Shelukindo afariki dunia

    RIP Beatrice Shelukindo
  3. W

    JamiiForums Tanzania Jenerali Ulimwengu: Tumerudi nyuma miaka 50 kwenye demokrasia, Kikwete apelekwe mahakamani

    Natamani mh. JPM angekuwepo Nkrumah Leo.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Kuna anayewafahamu vizuri ForePlan Clinic ya Dr. Mwaka?

    Nami natamani kufahamu CV ya huyu bwana. Dr. Kwa Kuwa anatibu kama Matunge au ni real MD?
  5. W

    JamiiForums Tanzania Lowassa kusimamisha Kigamboni, Mbagala na Ukonga kesho

    Mbona hatupati updates jamani? Hivi hakuna kituo chochote cha TV kitakachorusha mkutano wa mchana???
  6. W

    JamiiForums Tanzania Samia: Serikali ya Dk. Magufuli itanunua meli tano

    Hii siyo nchi ya Wadanganyika tena. Mwaka 2010 Kikwete aliahidi kununua meli kwa kila ziwa. Leo hii anaondoka madarakani hajanunua hata meli Moja. Kweli CCM ni ile ile ooh ni ile ile.... Lazima tuwaondoe Hawa wadanganyifu mwaka huu.
  7. W

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha magazetini Radio Free Africa, hawapo serious

    Nafikiri technical team ni weak interms of skills, owners hawasikilizaji utumbo huu sasa madhara tunayapata sisi wasikilizaji. Nimeamua ku stick channel Ten.
  8. W

    JamiiForums Tanzania Samson Mwigamba 'atimuliwa' uongozi ACT-Tanzania, Prof.Kitila, Mchange wapewa karipio kali

    Kweli ukizoea kula nyama ya mtu, huwezi acha.
  9. W

    JamiiForums Tanzania Prof. Kikwete aenda Marekani

    Prof wa China anakwenda US kwa matibabu. Hapo juu ni shimo la Dari ya VIP lounge airport. Na kuzurura kote hakuna alichowahi kujifunza. Airport yetu chafu na mbeya kuliko zote duniani, inavuja mpaka aibu rangi zimefubaa utafikiri unaingia jikoni.
  10. W

    JamiiForums Tanzania Baada ya Ujenzi wa Maabara, Jiandae na ujenzi wa Meli

    Katika Hali inayo dhihirisha ya Kuwa serikali yetu imenuia kuleta matokeo makubwa sasa, ili ahadi zake lukuki zisizotekelezeka angalau zitimie ki- magumashi, tumelazimishwa kuchangia ujenzi wa kile wanachokiita Maabara. Katika zoezi hili linaloendelea serikali haijatoa pesa na ninaamini haitatia...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Picha: Rais Kikwete akiwa na rais Uhuru walipo kutana uwanja wa kimataifa Dubai

    Kweli aisee!! Nafuu hata wangebadilishana sox na Uhuru..
  12. W

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu Subaru Forestar

    Sasa hizo nyumba nne zinahusianaje na gari? Acha kutuletea Ushamba hapa jukwaani. Peleka kwenye glob za watoto wenzako
  13. W

    JamiiForums Tanzania Polisi Wavamia Masafara na Kupora Maiti ya Kiongozi wa CHADEMA Mbeya

    Dakika chache zilizopita polisi wamevamia msafara wa wafuasi wa chadema waliokuwa wametoka kuchukua mwili wa mpendwa wao mochwari ya hospitali ya rufaa ya Mbeya ambaye inasemekana Alifia magereza. Wafuasi hao walikuwa wakiimba nyimbo za kimapunduzi na pambio za kanisani. Walipofika usawa wa...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza, ndege ya Fastjet kurushwa na marubani Watanzania

    Ni baba yake. Thanks God hakwenda upolisi.
  15. W

    JamiiForums Tanzania Mwimbaji wa nyimbo za injili Debora John Said afariki dunia

    RIP Mtumishi.
Back
Top Bottom