Recent content by WGS 84

  1. WGS 84

    Tatizo ni nguo zao lakini maumbo yao ni ya kawaida sana

    Kwenye barabara either barabara ilimfuata mtu au mtu aliifuata barabara na nguo hivyohivyo
  2. WGS 84

    Utafiti: Je, umeolewa ukiwa bikira au umeoa mwanamke bikira?

    Hii thiredi noma mara paap kigezo vyuo vikuu wadada bikira imo hakika vyuo vingekuwa na wanaume tupu......nawaza tu[emoji855]
  3. WGS 84

    Naomba niseme na baadhi ya wanamume

    Daa shake well before use
  4. WGS 84

    Majuto: Mchepuko anataka kunipeleka kwa Makonda

    Shida hapo si kwenda kwa Mkubwa ila unaogopa Wife wako atajua kwa kuwa mambo yatakuwa hadharani.Wahi mapema mwambie mkeo una mtoto nje hilo tatizo lako litaisha.
  5. WGS 84

    Kachukua nguo yangu ya ndani

    Akija tena mpe nyingine mwambie hii pia imechafuka kama ile ya kwanza atakuelewa tu.
  6. WGS 84

    Kachukua nguo yangu ya ndani

    Kama inamtosha mwache avae akija tena atakuletea mkuu au muombe yake nawe vaa
  7. WGS 84

    Msaada wa ku unlock network ya tecno R6

    Mbavu zangu[emoji1] [emoji1]
  8. WGS 84

    Anga za Nairobi zawaka moto, Wakenya waruka mwaka kwa mitindo

    Mbona hamtupii za Tz au bado hatujavuka.
  9. WGS 84

    Ana mimba sio yangu, atishia kujiua kisa nmesema mimba sio yangu

    Ingekuwa mimba ya Hela ungekimbia mkuu?wewe usikimbie majukumu kama ulimwagia hata kiungo kimojawapo cha huo mtoto atakayezaliwa kinaweza kuwa chako kwahiyo usiogope.
  10. WGS 84

    Hivi wanaume huwa mnawaza nini

    Kwanza inatakiwa umshukuru anakujali kati ya 500,000 alizokuwa nazo katoa 100,000 kabaki na 400,000 kwa ajili yako bado unakwapua tena.wanawake Mungu anawaona.
  11. WGS 84

    Mkasa Wa Kweli : Yamenikuta Salma Miee

    Story ndefu.Daà ungeshusha hata kaaudio ingependeza sana maana wengine wavivu kusoma.
  12. WGS 84

    Kumekucha jamani.....niseme nisiseme?

    Kama husemi narudisha simu ya watu.
  13. WGS 84

    Hivi kuna wanawake wazuri wa kuoa humu JF

    Mimi mwanaume mashine siangalie sura wala umbo nataka mwanamke wakupambana na maisha nianze naye hata baadaye tukigawana fifty fifty baada ya kukosana hakuna atakaye umia.
  14. WGS 84

    Anasema ananipenda ile hali alinigomea ndani ya Box

    Huyo aseme mashine yake mbovu.
Back
Top Bottom