Recent content by weyuyo

  1. W

    Magufuli, Lowassa wakwepana tena

    kwanza lowassa sio waziri mstaafu.tangu lin kujiuzulu kukawa ni kustaafu acheni kuwa vipofu .
  2. W

    Kasi ya Magufuli imewapotezea dira ya UKAWA

    yaan ukawa walikuwa kama wajinga flan hivi,nilikuwa siwaelew kabisa walitoka mishipa ya shingo mpaka bhs mbowe alikua anatoa macho kama ikulu kaishika tayari,lisu ndo kabisa saut had inakwama,kambatia kamewasalit wenzie wa kigoma sasa hiv amechanganyikiwa balaa,hana watu wa kukaa nao vikao vya...
  3. W

    Rais Magufuli kufanya ziara ya siku mbili nchini Rwanda, kutumia usafiri wa gari

    Sipati picha kama chadomo wangechukua nchi uchafu ambao wangetenda wapiga deal wale wa kishumundu.
  4. W

    A chaga wife material click here!

    Yanafanana kwa roho mbayaaaaa oaneni tu matus nje nje!!!!!!
  5. W

    Tibaijuka kitanzini tena sakata la Escrow, TRAB yamuamuru kulipa milioni 586

    Kwenye utawala huu ni lazima kila mtu awe mpole huyu mama alikuwa na kibuli sana huwez kuongea hadhalan kwamba pesa ya mboga,hvyo wamtinge tu hakuna namna na mm nasema wamtinge kokugonza huyo.
  6. W

    Halima Mdee amtaka Rais Magufuli ataje posho na marupurupu anayolipwa

    Vtu hivyo wangemuuliza jk sio magu.mtu anafanya kazi namna ile tena wanahoji nn harima ndo wakuulizwa maana hana kaz na analipya,kwa taarifa yao wapinzan wamechemka na tundu lisu anajua hilo.
  7. W

    Halima Mdee amtaka Rais Magufuli ataje posho na marupurupu anayolipwa

    Hiv kamtu kama kaharima mdem nakenyewe kakusilizwa kweli jaman,saut yenyewe hana utafikili saut ya galaton ya zaman hovyo kabisa sio hadhi ya magu takataka ile nyoooo.
  8. W

    NSSF ndani ya ufisadi mzito: Wajanja wapiga zaidi ya Sh. Bilioni 179

    NSSF kinondoni hivi kwanin wamepanga vyumba kwa mtu binafsi wakat wao ndo wanajenga majengo?????kuna mtu anakula kodi yan NSSF kinondon hii haikubaliki shilika kama NSSF linapoteza mafao ya watu makusud kabisa,nashauli hili shilika lifumuliwe na watu wakamatwe haraka ni dhihaka kwa taifa kuwa na...
  9. W

    NSSF ndani ya ufisadi mzito: Wajanja wapiga zaidi ya Sh. Bilioni 179

    dr dau hafai na wakimuacha ni kosa kubwa huyu mzee wa hovyo kuliko mnavyozan.Asilimia kubwa ya fedha hizo ziko campun ya DERM na Y&P hawa jamaa ni shemeji zake dau hyo Y&P ndo jengo lao ni mliman tower ambapo kuna NSSF kinondon opposite na mliman city tena hawa jamaa wanaendelea na ujenzi mkubwa...
  10. W

    Sheikh Ponda akosoa utendaji wa Rais Magufuli

    ponda maswala hayo akamueleze jk muda huu sio wakat wake wala si mahala pake kila zama na utaratibu wake,wazungu wananizam sana kwa maswala ya nchi ni kwasababu walitokea kuwajibishana tena bila kumuangalia mtu uson leo hii kizaz na kizaz wako makin mpaka damu zao zinaelewa hivyo.nchi ina watu...
  11. W

    Sheikh Ponda akosoa utendaji wa Rais Magufuli

    ukiona mtu mzima analia ujue kuna jambo,maneno haya hua yana maana wakati fulan sasa huyu mzee mtandao wake wote umevurugwa na magu maana kila anaye muona unamwambia magu kashaharibu system ama ya ukabila ama ya udin hivyo maisha ni magum sana.ushauri muelezen mzee huyu kuwa hata wengne...
  12. W

    Mkuu wa wilaya ya Hai ana PhD feki!

    aise tunaweza sema tunawasomi kumbe ni majina tu ila kichwani hamna kitu ndo maana uwiz mwingi sana kumbe vibuyu vitupu.
  13. W

    Mashamba ya NAFCO, Mh. Rais

    aise hata mbeya yapo nimazuri kweli kweli.
  14. W

    Wanafunzi wanalia njaa vyuoni, "No Boom"

    ww ndo hujafikiria mkuu huon unachofanya,siku mbili unalalamika kweli hata kama serikali ina speed ya ndege za kivita sio kwa stail hiyo unayotaka.
  15. W

    Wanafunzi wanalia njaa vyuoni, "No Boom"

    unapotoka kwenu jifunze kuja na pesa kiasi sio kulia lia hapa unafikili serikali inafikiria wanafunz tu?kuna mambo mengi kuwa mvumilivu!!
Back
Top Bottom