nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 11,734
- 12,024
Usiku wa leo nimetokewa na malaika akanifahamisha niweke ujumbe humu unaohusu mashamba ya NAFCO.
Nikaonyeshwa majina
1.MURJANDA
2.SECHET
3.KIDAGAMOUD
4.GAWAL
5.BASOTU
6.........
7............
CMSC.....Centre ya matengenezo kwa pembejeo.
Kila shamba moja lina ukubwa wa HEKTA 10,000 na yapo mashamba 7.
Nikaonyeshwa mashamba haya yalikuwa yanalima ngano ya gredi ya juu sana tena tuliweza kuiuza nje ya nchi...lakini leo tuna agiza ngano nje ya nchi.
Leo vijana hawana kazi lakini haya mashamba bado yapo angalau yangeweza kuajiri ma elfu ya vijana. Mbali ya kuuza ngano tungeweza kutengeneza unga na bidhaa zake....LINE YOTE HII YA PRODUCTION ingechukua mamilioni ya wacheza pool na wapiga debe.
Kama zamani tuliweza kupalilia mashamba hayo kwa kutumia ndege...leo tutumie pampu tukiwa na lengo la kurudi kwenye ndege.
Nikasikia baridi kumbe ni maji ya mvua yanaingia ndani.....nika amka.......