Wanafunzi wanalia njaa vyuoni, "No Boom"

Mchumi90

JF-Expert Member
Mar 16, 2015
1,089
1,297
Ni takribani wiki imepita sasa tangu baadhi ya vyuo wafungue kwa ajili ya semester ya pili. Mpaka sasa hata majina ya kusign hela hayajatoka bodi ya mikopo, wanafunzi wameishia kulia njaa tu vyuoni. Kwani MCC inahusika na hizi hela?
Mnaojua tufahamisheni.
 
Katiya taasisi zilizokua na matatizo ya kiutawala nchi hii hata bodi ya mikopo ya elimu ya juu kuanzia makao makuu hadi maafisa wa mikopo vyuoni yaani ni miungu watu
 
vyuo ving vimefungua jumanne,jaman kuwen wavumilivu pesa sio majan makavu inautaratibu wake lazima mjifunze kujiuliza.
 
Ni takribani wiki imepita sasa tangu baadhi ya vyuo wafungue kwa ajili ya semester ya pili. Mpaka sasa hata majina ya kusign hela hayajatoka bodi ya mikopo, wanafunzi wameishia kulia njaa tu vyuoni. Kwani MCC inahusika na hizi hela?
Mnaojua tufahamisheni.
unapotoka kwenu jifunze kuja na pesa kiasi sio kulia lia hapa unafikili serikali inafikiria wanafunz tu?kuna mambo mengi kuwa mvumilivu!!
 
ongeeni tu na management ya chuo.. pesa ilishatolewa tena kwenye makusanyo ya mwez march...

Mi ndo nmetoka kusign mda huu.. narud home chuo j3..
 
SAUT-mtwara tushasign tangu j5, mleta uzi acha siasa, hela za mcc ni za umeme tena bajeti ijayo, pia tambua kuwa hyo hela ya mcc ambazo n tr1.02 huwez fananisha na mapato yetu kwa mwezi ambayo n wastani wa tr1.4. tuache siasa TANZANIA ni yetu.
Balaa wanalo saut mwanza,
 
Nao sijui wajifunze kujitegemea! ...hamna za boom bali wawe wanadowea kwa majirani ili tufanikishe tanzania ya viwanda.
 
Ni takribani wiki imepita sasa tangu baadhi ya vyuo wafungue kwa ajili ya semester ya pili. Mpaka sasa hata majina ya kusign hela hayajatoka bodi ya mikopo, wanafunzi wameishia kulia njaa tu vyuoni. Kwani MCC inahusika na hizi hela?
Mnaojua tufahamisheni.
Hapa Kazi Tu
 
kalipe ada usain acha undezi
 
Asingeandika masuala ya MCC ningemuona wa maana. Kumbe hata vyuoni kuna nyumbu wametapakaa huko?
 
Nao sijui wajifunze kujitegemea! ...hamna za boom bali wawe wanadowea kwa majirani ili tufanikishe tanzania ya viwanda.
Boom lenyewe wakipewa wanalimaliza siku moja tu maana wengine watMtafutA salama au eggy
Ukipita bar za calabash wamejaa tu wanatumbuaaa
 
Back
Top Bottom