Kaka sasa hivi ni TZ kwanza habari ya vyama baadaye. Shime tushirikiane kwa lengo la kujenga na tuache siasa za Uvyama ili tuijenge Nchi. Hivyo vyama siyo pepo bali ni moto kama vitatumika kunyonya maslahi ya wengi. Nadhani swali lako sintaweza kulijibu kwa kuwa mimi msimamo wangu ni Tz kwanza...
ukishaona hivyo ujue, watanzania wanang'amua mambo kwa kuwa tu, Tanzania hakuna chama mbadala chenye sera nzuri, ubunifu wa mipango, uzalendo na utu kama CCM. TUKIBADILISHE CHAMA KWA KUINGIZA YALE MAZURI TUYATAKAYO BADALA YA KUKIKIMBIA NA kuelekea Katika SACOSES kama Chadema.
:flypig:
Kama dr. Atapata Urais kwa huo umri na akili ya kutelekeza familia,pamoja na kushindwa kuwa na ndoa hadi leo, mi binafsi nina mashaka na UZALENDO alionao juu ya nchi yetu.
Badala ya kujadilli hoa we ujadili vitu ambavyo havikusadii na hoja inapokuja uwanjani basi tuwemakini kuijadili badala ya kujadili mtu aliyetoa hoja.Tujifunze kutoka kwa watu na tuelimike. Kwani ZITTO kusema hivyo hataki watu nawatfakali kwa umakini ya juu na waje na suluhisho kubwa na lenye...
CDM hamna watu wakuwza kukushika uongozi wa juu kama mbowe akiondoka.maana ni mama wa chadema bila yeye ktakufa.Tena nakuomba umuheshimu sana kwa kuwa ndiye mfadhili mkuu wa chama.
Mimi binafsi tangu nikiwa chuo nilikuwa ni kisikia hivyo, baada ya kumaliza na kuendelea na kazi nimeona niulizie hali hii ili niendelee kujiridhisha kama nikweli.Na kama hali hii ianaendelea wanawake wanatuogopesha kuwaoa na kuwapeleka chuo.Wana jf naomba michango yenu kuhusu hili.:kev:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.