Recent content by Werema Chacha

  1. W

    JamiiForums Tanzania Nafasi za JKT zinatoka lini?

    Eti wakubwa, kuna uwezekano mtu kmaliza form four amesomea driving course akifika jeshini kuna uwezekano wakuomba kusomea course kama diploma ya procurement then anarudi kuendelea na jeshi ? Na je ataweza kufanya hivyo akiwa kwenye ajira au anapo maliza mafunzo ya miezi sita Jkt?
  2. W

    JamiiForums Tanzania Anayejua habari za JKT

    Ok ndugu
  3. W

    JamiiForums Tanzania Anayejua habari za JKT

    I'll start very soon
  4. W

    JamiiForums Tanzania Anayejua habari za JKT

    Yaaap apo nmekupata
  5. W

    JamiiForums Tanzania Anayejua habari za JKT

    Asante ndug yang Makanya Jr.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Anayejua habari za JKT

    Nisaidieni jaman ndg zang
  7. W

    JamiiForums Tanzania Anayejua habari za JKT

    Ndio cjui mkuu kwasabab ndo nataka nianze kuisoma kozi hii Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
  8. W

    JamiiForums Tanzania Anayejua habari za JKT

    Sawa ndug mhe lakn at least nijue japo kdogo coz watu tunajiuliza hatupat majib Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
  9. W

    JamiiForums Tanzania Anayejua habari za JKT

    Wakuu samahan eti kuna umuhimu gan wakuwa na ujuzi then ukajiunga jeshi mfano diploma ya Information technology Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
  10. W

    JamiiForums Tanzania Kozi za Afya 2016/17, Ushauri na maoni

    Sawa ndug nimekuelewa ila waweza pia kuniahauri in koz gan marketable naweza kusoma
  11. W

    JamiiForums Tanzania Certificate in medical laboratory imekaaje?

    Nina 4 ya 26 Bios d Chem d Je naweza soma hyo koz ya medical lab?
  12. W

    JamiiForums Tanzania Tupia swali lako

    Nina 4 ya 26 BIOS d Chem d Nataka medical lab inawezekana?
  13. W

    JamiiForums Tanzania Kozi za Afya 2016/17, Ushauri na maoni

    Jaman mm matokeo yngu ni haya then nataka nisome koz ya lab technician inawezkana au medical lab Hist d Engl d Civ c Geo d Kisw c Phys f Chem d Bios d Math f Nisaidieni jaman pia kama haitqwezkan nishaurin ni koz gan nawza piga tofauti na afya japo napenda sana mambo ya afya Karubu kwa ushauri...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Msaada kozi ya afya

    Unawza ukanielezea inahucka na nn hyo kozi
  15. W

    JamiiForums Tanzania Msaada kozi ya afya

    Duuh jaman kwahyo kama pia hujasoma physics huwez pata koz nzur ya afya wapendwa [emoji120]
Back
Top Bottom