Recent content by wera wera.

  1. W

    JamiiForums Tanzania Let them decide!

    Well said , the baby of one month or so on can not be in position to register the name it want. as well this is traditional not only in Tanzania or in modern error , but in world wide and took place since the time of Jesus na Mtume Mohamed S.A.W.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Tujadili kuhusu mtandao wa Halotel

    nimenunua line halotel na muda wa maongezi . kwa kweli hakuna cha unafuu wowote maana nimepewa dkk 30 kwa mwezi , hii ina maana nitumie dkk 1 kwa siku.
  3. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina mimba ya rafiki wa mume wangu, nifanyeje?

    Pole sana! hiyo ni kazi yako ya kugawa dudu na ndio maana wanasema ajali kazini.
  4. W

    JamiiForums Tanzania Arusha: Hospital gani wana huduma ya kusafisha meno?

    Toa maelezo vizuri kuhusu hiyo opposite na SDA
  5. W

    JamiiForums Tanzania Project proposal writer

    nicheki inbox , mimi mtaalam wa hayo madude
  6. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimemtafutia kazi nzuri anayolipwa vizuri zaidi ya hii aliyonayo sasa, amekataa

    Jamaa atakuwa anaumwa
  7. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujulishane: EPL inaanza, DSTV hawashikiki tena kwa bei zao mpya

    Afadhali kulipa buku kwenye vibanda umiza. 199k nyingi sana
  8. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tujulishane: EPL inaanza, DSTV hawashikiki tena kwa bei zao mpya

    Mechi 1 kwa buku ? fafanua mkuu
  9. W

    JamiiForums Tanzania Njoo tujadili namna ya kutengeneza zaidi ya mil 100 ndani ya mwaka mmoja

    nunua mashine ya kufyatulia noti
  10. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Najuta kutongoza wanawake wa Dar!

    kimbia tu, rudi kijijini
Back
Top Bottom