Recent content by wembe

  1. W

    JamiiForums Tanzania Ajali Kimara

    Tyta unahitajika huku naona mgogoro umeshakuwa mkubwa
  2. W

    JamiiForums Tanzania Je ni kweli ntakufa 2014 April???

    tuachie usia kabisa
  3. W

    JamiiForums Tanzania Jamani Mwenzenu sijamwelewa Zitto Z. Kabwe

    Kuna joto sana hadi kamera haipigi picha
  4. W

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mwingira kudaiwa kuzaa na mke wa mtu, Rais Kikwete aingilia kati

    Hee!! Mpaka mbinguni tena hebu niambie kukoje na mimi 'niokoke'
  5. W

    JamiiForums Tanzania Hawa wana maana gani na Majina yao!

    Bora umewakataza manake wangeuliza ningewajibu kikwetu Kabanga maana yake ni nini
  6. W

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa barabara za kasi

    Hairuhusiwi ukitokea njia yeyote isipokuwa Kigamboni tu. Pia maeneo ya Posta hutakiwi kuvaa viatu
  7. W

    JamiiForums Tanzania Tigo tutakutana mahakamani

    Kuna kelele sana kwa hiyo camera haifanyi kazi
  8. W

    JamiiForums Tanzania Mtihani kidato cha nne: OCD wilaya ya Kondoa ampiga vibaya mkuu wa shule wa Kikore

    Kifaru akiwa mjane ni kawaida kuwa na akili kama hizi
  9. W

    JamiiForums Tanzania Vipande 706 vya Pembe za Ndovu vyakamatwa Jijini Dar nyumbani kwa Wachina

    Sio bure nadhani katika wachina waliokamatwa kuna bwana wako
  10. W

    JamiiForums Tanzania Nina sura ya kirwanda na nimechaguliwa upolisi

    Inaonekana anapenda kupiga kwa hiyo anataka awapige tu
  11. W

    JamiiForums Tanzania Kanembwa!!! Yavunja rekodi!

    Mi sijaelewa inauma XANA ndio nini
  12. W

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

    Aaah dokta mbona unajisahau unamwaga hapa utetezi utakaotumika? We ungewaacha tu waendelee kubishana hayo mambo hakimu angekutana nayo mahakamani umeshaharibu sasa
  13. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya declares war on Al Shabaab!

    Kwani nyoka akimng'ata binadamu utasema ni mzuri?
  14. W

    JamiiForums Tanzania Bei ya mshikaki coco beach

    Ni aina fulani ya matuda yanafanana na maembe
  15. W

    JamiiForums Tanzania Afia mahakamani akisubiri kumwekea dhamana mtoto wake....

    Duuuh bange la saubuhi noma ungesubiri unywe chai kwanza
Back
Top Bottom