JFKAMANDA
Senior Member
- Sep 1, 2013
- 122
- 45
Jamani wanajamvi kutokana na kuwa nimesikiliza na nimerudia kuisikiliza sauti ya MB.Z.Z.Kabwe hata hivyo imeniwia vigumu sana kumwelewa Mh.
Wanajamvi wa Jf nisaidieni kupata kauelewa juu ya huyu mwenzetu wa CDM.
NILIVYO MWELEWA MM NI KWAMBA KAZI ALIYOTUMWA NA CCM BADO HAIJA ISHA KWA HIYO BADO ANAHITAJI MDA KUISAMBARATISHA CDM hilo ni moja
La pili KWA SASA AKIACHIA NGAZI KWA KUTIMULIWA NA CDM ULAJI WAKE UTASHUKA SANA NA BAADAE ATAKOSA SUPPORT YA WATU WAKE WANAMPA KIBURI KWA SASA.
tatu ni ANAHOFIA NGUVU YA CDM KUNYAGANYWA, ANAOGOPA KUPOTEZA JIMBO LAKE KIMCHEZO KWANI AKIHAMIA CHAMA CHA CCM ATAPIGISHWA CHINI NA WANANCHI WA KIGOMA KASKAZINI.
Nyongeza Mh.Z.z.Kabwe Acha kuwa popo nyooka kama wewe ni ndege uwe ndege kama we mnyama uwe mnyama.
N.B chama cha CHADEMA kimchunguze zaidi Zitto kwani ni moto wa ukaa ulikaa ndani ya nguo kuna siku itatoboa nguo na kujitokeza nje.
Nawasilisha