Recent content by weeder

  1. weeder

    Tujukumbushe uongo mbalimbali aliowahi kusema Mange Kimambi

    Tahira ni ww unaemchukia the only trusted whistle blower aliebaki au na wewe unatetea ugali wako kama shoga mwenzio bashite kwnye ccm(chama cha mash_ga)
  2. weeder

    Nani ni DJ bora kwa mwaka 2017?

    Itapendeza mkuu ueke link japo jamaa amekuwa role model wa watu wengi
  3. weeder

    Kipindi cha TV kinachoboa zaidi ni kipi?

    Vipindi vyote vya TBC
  4. weeder

    Nani ni DJ bora kwa mwaka 2017?

    Kwa mwaka huu Djd_ommy kawakimbiza wanamuita the international dj japo wapo ma dj wengi wnye skills kuliko yeye ila ubaya hawajiongezi wanaishia tu kujificha kwnye radio’s n baadhi ya clubs alfu hawajibrand yan atleast na Dj ommy crazy mikelele na yeye kajitahid mwaka huu kala shavu
  5. weeder

    Magufuli huenda akawa Rais wa pili kuenziwa zaidi baada ya Mwalimu

    Umuenzi JPM raisi anaepiga hatua 3 mbele 7 nyuma..,,,watakaomuenzi labda ni wakina Bashite,Polepole,Gambo na makada wa CCM waliofaidika kwa kupewa uongozi wa kuteuliwa ila raia wa kawaida hawezi kumienzi mtu mwnye matatizo ya akili mzee wa frentford
  6. weeder

    Waziri Mkuchika: Hatutapandisha mishahara (ya watumishi wa umma), tunafanya uhakiki wa umri

    Kwa mwendo huu wakuendesha nchi by 2020 yoyote atakaeipigia kura CCM atakuwa c mzma
  7. weeder

    Poll: Muammar Gaddafi Vs Nelson Mandela? Nani Shujaa/mwamba Wa Afrika?

    Mandela hakuisaidia Africa labda tu kuwasamehe waliomfungia jela kumpa promo na propaganda nyingi but ghadafi alikuwa jembe sana
  8. weeder

    Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Asante mkuu nimekupata so hzo box bei zake zinaendaje
  9. weeder

    Tunafanya flashing, unlocking and repair kwenye simu

    Habar zenu wadau mimi c fundi bali niko intrested na hayo mambo ya repairing phnes software problms nilikua naomba details kdgo kuhusu haya mabox ya kuflash cmu how do they work kwa maana mm personally hufanyaga flashng,rootin n repairing imeis ila kupitia kusoma articles na post za forum xda...
  10. weeder

    Rais Magufuli atangaza kiama kwa mitandao ya simu

    Kwa fikra kama hizi ata ikifika 2100 nahc bado wabunge wetu wataendelea kuongelea kero za maji
  11. weeder

    Nani Comedian/Mchekeshaji mzuri duniani?

    Mkuu list lako noma sana ila ingefaa umuongeze Will Ferrel, Zach Galifianakis na ken jeong
  12. weeder

    Joh makin Vs Fid q

    Mi ni shabiki mkubwa wa Joh nnachoona alichopitwa na fid q ni kuandika mistar concious tu! lakn vilivyobaki mwamba wa kaskazin yupo juu
  13. weeder

    Behind the curtain: September 11

    The Bold heri tu ujiite The Best cjawai ona andiko lako bovu respect sna bro
  14. weeder

    Nashukuru (HESLB) kuninyima mkopo mmenifunza maisha

    Hii ndo tatizo la watanzania wengi tunachukia sna transparency Hatupendi kuonesha njia tulizopitia tunapenda kumuonesha mtu tumefika tu yaaan we usitake kujua.......we si useme umefanyaje mpaka ukaweza ila na wenzako walio nyuma yako na walipostponed wakikiosa na mwakan wajaribu kufanya kama ww...
Back
Top Bottom