Recent content by Webb

  1. Webb

    Ramadhan Special Thread

    saudia tayari vipi bongo
  2. Webb

    Ramadhan Special Thread

    wakuu vipi mwezi umeonekana
  3. Webb

    Kwa wimbi hili la Watanganyika kuhamia Zanzibar, tujiandae wazanzibar kupoteza utambulisho wetu ndani ya miaka kumi ijayo

    Mkuu Nina shida na chumba Cha bei rahisi huko kwa miezi 3,vipi wapi nitapata
  4. Webb

    Maxence Melo atunukiwa tuzo ya kinara wa kutetea Uhuru wa Kujieleza Mtandaoni 2018/19

    magonjwa Mtambuka jingalao FaizaFoxy ISIS .......
  5. Webb

    Chumba Cha kupanga Zanzibar darajani

    Wakuu anaejua gharama za chumba Cha kawaida pale Darajani anijulishe. Na utaratibu wa kupanga ukoje kwa Zanzibar hasa kwa sisi wageni kutoka Bara.
  6. Webb

    Natafuta mchumba

    Mkuu umekosa kotee mpaka uje jf kwenye ID fake....
  7. Webb

    Mtoto mchanga atelekezwa stendi kuu Ubungo

    Anaweza kuwa Obama Anaweza kuwa Mandela Anaweza kuwa Ronaldo Anaweza kuwa Serena William Anaweza kuwa Oprah Anaweza kuwa Diamond Anaweza kuwa Samatta Anaweza kuwa..............
  8. Webb

    Nahitaji mkopo wa laki 3 kwa riba

    Riba ni dhambi kubwa sana,na ina laana kubwa kabisa
  9. Webb

    Kazi ngumu sana lakini nasave laki kwa mwezi

    Wakuu naombeni ushauri, Mimi ni graduate lakini nilikua nimejiajiri mpaka mtaji ulipofilisika. Sasa hivi nimeajiliwa kiwanda cha nondo, nafanya kazi ngumu sana na tena nimepangiwa shift ya usiku.Kwa kweli hii kazi naichukia sana sema shida sina jinsi. Baada ya kufanya matumizi yote ya...
  10. Webb

    Bakwata kusajili misikiti, madrasa zote Tanzania

    Iwe kwa kheri,ila kama kuna mpango nyuma ya pazia....basi laana ya mwenyezi mungu haitawaacha. Inshallah naomba iwe kheri
  11. Webb

    AKILI : Ni bora kununua mashamba kuliko kujenga nyumba

    Uko sahihi mkuu,sema wengi uoga wa maisha unatusumbua.
  12. Webb

    Nafasi ya kazi ya ulinzi

    Wakuu anaitajika mlinzi mmoja wa kulinda eneo kubwa,garage apa dar. Malipo 150,000/= Kula na kulala ni apapa
Back
Top Bottom