Umenena vyema, japo mimi sio mgeni, ila button haijapewa kipaumbele na hata wewe inawezekana either huna followers au kama unao, hujui wapo wangapi, cha msingi ninachojaribu kuwaza, ni button pamoja na idadi ya followers ionekane hata kwenye hizi threads, kwa kifupi iwe visible kama chuchu za...