Bornventure
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 529
- 523
Nawapongeza kwa ubunifu, mmenifanya nijivunie product yenu. [HASHTAG]#Kilimanjaro[/HASHTAG] drinking water wanapaswa kujiongeza.
kwani picha haionekani mkuu!?Mkuu fafanua huo ubunifu
Inatakiwa aweke na chupa nyingne ndo tuelewe ubunifu waoMkuu fafanua huo ubunifu
Yes naona chupa hapo,kwani picha haionekani mkuu!?
Yes naona chupa hapo,
Huo ndiyo ubunifu unaozungumzia?
We dew mbona wana chupa kama hiyo ya chini na inatumikaView attachment 479182 View attachment 479183
hebu compare hizo picha kwanza mkuu uone what the man is talkin about
aisee maji ya dasani sio kabisa yaani... nilikuwa nikinywa nahisi kizunguzungu kabisa hadi sasa mzabuni wetu kazuiwa kuleta yale majiMkuu brand ni kitu kingine acha tu, watu hawaangalii sura,
Dasani bado wapo??