Vipi kama JF nayo ingekua na button ya Followers

WE ARE ANONYMOUS

JF-Expert Member
Mar 23, 2015
217
282
Ukienda kule Instagram, Twitter na Facebook, followers ndio habari. Hadi watanzania wengine wanauza account zenye followers wengi. Najaribu ku imagine kama JamiiForums ingekua na kitufe cha Followers, unahisi nani angekuwa na Followers wengi, na je mnaonaje hii feature ikiwa introduced hapa JF?
 
Karibu sana mgeni naona kuna chocho hujazipita.
Kitufe kipo ila kimejificha kama sehemu za siri

Sent using Jamii Forums mobile app
Umenena vyema, japo mimi sio mgeni, ila button haijapewa kipaumbele na hata wewe inawezekana either huna followers au kama unao, hujui wapo wangapi, cha msingi ninachojaribu kuwaza, ni button pamoja na idadi ya followers ionekane hata kwenye hizi threads, kwa kifupi iwe visible kama chuchu za msichana kigoli.
 
Back
Top Bottom