Kuna kamjadala nilikua nakaona youtube, black americans wana discuss kuhusu hii movie, wanasema kua kuna agenda hollywood wanapush, ambapo itahusu kuzidi kuhimiza feminism kwenye jamii. I mean wanawake kuwa na power kuliko wanaume, kwa kifupi kupunguza masculinity, hii itasaidia serikali kua na...