mdudu
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 7,029
- 10,025
Hata wanafunzi wa vyuo vikuu,madaktari,walimu Imekuwa ndoto kugoma.Kwa sasa uoga umezidi sana tofauti na kipindi hicho cha wapigania uhuru.kwa sasa ni kusifu tu
Hata wanafunzi wa vyuo vikuu,madaktari,walimu Imekuwa ndoto kugoma.Kwa sasa uoga umezidi sana tofauti na kipindi hicho cha wapigania uhuru.kwa sasa ni kusifu tu
Hii ya kuwa waoga ni tz tu huko wenzetu wanakiamsha sana..mfano south Africa..Vijana wa sasa wamekuwa waoga sana wa kudai haki zao tofauti na kizazi kile cha wapigania uhuru kama kina Nyerere, Obote Kenyatta Kamuzu Banda, Mugabe nk.walitetea haki kwa nguvu zao zote waziwazi hadi wakawatoa wakoloni wakarudi makwao.
Cha ajabu hiki kizazi kilichozaliwa kuanzia miaka ya 70s hadi90s(nguvu kazi) ni kizazi cha waoga sana.hawajali hata wakinyimwa haki zao.Mfano tozo za simu tuliahidiwa ifanyike kwa mwaka mmoja lakini imekuwa endelevu na hakuna hata mmoja wa kuhoji
Mikataba ya kilaghai inaumiza wananchi.Mfano gesi ya mtwara tuliambiwa ingepunguza bei ya umeme nchini lakini imekuwa kinyume chake.Hivyo hivyo na huu mradi wa uchakataji na usindikaji wa gesi (LNG)na wenyewe tutapigwa tu.Mkataba wa kujadiliana na watu wawili hapo si ndo kupigwa kwenyewe.
Pamoja na hivyo, hamna hata mmoja amehoji.wasaidizi ni kusifu tu.uoga umezidi sana tofauti na wakina nyerere walipinga hadharani hii mikataba ya kilaghai pamoja na kodi za kihuni kama hizi. watawala waliojifanya wagumu cha moto walikiona.hawakuogopa cha policcm wa enzi hizo wala chombo chochote cha dola.
Kwa sasa huduma zote za umma ukianzia hospitali,shule nk.zote niza kusuasua.watawala wao hawaziboreshi kwa kuwa haziwahusu.Wao hutumia kodi zetu kwenda nje pamoja na watoto wao kupata huduma hata ambazo hazisitahili(malaria kwenda kutibiwa ulaya).yote haya yamesababishwa na aina ya jamii yetu kuwa ya waoga sana tofauti na jamii ya enzi za nyerere
Wewe mdau karibu tushauliane tufanye nini ili tuwe na watu jasiri na wazalendo kama wa enzi za wapigania uhuru?Maana kwa kizazi cha sasa ni cha kusifia tu hata pale pasiposifika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaojiita wapigania uhuru wa Kiafrika wengi walikuwa tu wanataka Mzungu aondoke ili wawageuze waafrika wenzao watumwa.
Ona ANC ya S.A kimeguka chama cha ufisadi wanaojiita wapigania uhuru wanautafuna S.A, kule zimbabwe yake yale, hapa TZ labda JKN tu ndiye aliondoka akiwa na mali za kawaida na wala hakuwaacha watoto wake kwenye system,
Unafikiri raia wote wakingia barabarani na mitaani polisi,jeshhi sjui nani watawazuia...si unaona srilanka maana inabidi Jeshi liwatizame tuShida inaanziaga hapa na jeshi la polisi liko tayari kufanya uhuni huo wa kuumiza raia kwa sababu yeyote ile na kigezo common watasingizia mnalengo la kuleta taharuki.
Kifup nchi haiongozwi na katiba hii ila maslahi ya watawala na daraja kati ya watawala na raia ni hao
askari. Hivyo askari wakiulizwa mnalipwa na nani? CCM...Haya fanyeni kazi yenu.![]()
Tuchukue hatua kupinga matendo mabaya yanayofanywa na watawala yanayoumiza Nchi.Tuwafanye watekeleze majukumu yao kwa kufuata haki.Haya yoye yanawezekana pale wtz wakiondoa uwoga ikiwa ni pamoja na kufanya maandamano yasiyo na kikomo.Mleta thread,tufanye nini ili tusionekane waoga tena mbele ya macho na akili zako?
Kuhusu maandamano yasiyo na kikomo:Tuchukue hatua kupinga matendo mabaya yanayofanywa na watawala yanayoumiza Nchi.Tuwafanye watekeleze majukumu yao kwa kufuata haki.Haya yoye yanawezekana pale wtz wakiondoa uwoga ikiwa ni pamoja na kufanya maandamano yasiyo na kikomo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbinu tulizotumia hapo kale ni ujasiri tu hakuna kingine.Kwa sasa mawakili wapo wengi sana ikiwa tu na wao wakaondoa uoga maana mifumo kandamizi huumiza wote ikiwemo na hao mawakili.Kuhusu maandamano yasiyo na kikomo:
-Umetuandalia mawakili wa kesi zetu za ugaidi na uchambuzi wa PGO?
-Unaweza kutumegea mbinu mlizotumia "hapo kale" kukwepa au kukabiliana na kipigo cha kuchakaa kama mbwa-koko?
Mbona kama unarahisisha,kututupia mizigo na kutuacha tujicheki.Kwa hiyo tukiwa maamdamanoni na kuanza kubondwa marungu,fimbo,mateke na hata kuvurumishiwa marisaa tutoe macho tu kwa ujasiri?Na hao mawakili "waliojaa siku hizi" tutawalipa madebe ya ubuyu mkavu?Tufafanulie.Akili yetu ni nyembamba kama tishu.Mbinu tulizotumia hapo kale ni ujasiri tu hakuna kingine.Kwa sasa mawakili wapo wengi sana ikiwa tu na wao wakaondoa uoga maana mifumo kandamizi huumiza wote ikiwemo na hao mawakili.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuhusu pesa za kuwalipa hawo mawakili ondoa hofu kabisa.pesa ninazo nyingi sana si unaona jina langu linajieleza kuwa pesa zipo zakutosha tu.Mbona kama unarahisisha,kututupia mizigo na kutuacha tujicheki.Kwa hiyo tukiwa maamdamanoni na kuanza kubondwa marungu,fimbo,mateke na hata kuvurumishiwa marisaa tutoe macho tu kwa ujasiri?Na hao mawakili "waliojaa siku hizi" tutawalipa madebe ya ubuyu mkavu?Tufafanulie.Akili yetu ni nyembamba kama tishu.
Kweli mkuu?Usijekuwa kama "Mzee wa Ubwabwa"?Sound nyingi kuhusu ubwabwa delivery halafu hana hata kiroba cha mchele!Kuhusu pesa za kuwalipa hawo mawakili ondoa hofu kabisa.pesa ninazo nyingi sana si unaona jina langu linajieleza kuwa pesa zipo zakutosha tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
mindsetSi tumeambiwa tusitumike na mabeberu tulinde amani yetu na nchi nyingi sana zinatuonea wivu sisi kwa kua ni kisiwa cha amani.

huyu mzee angezewe moto....HAKUNA VIJANA kuna WAHUNI tu kazi yao kubwa kulamba SOLI za Viatu za WATAWALAVijana wa sasa wamekuwa waoga sana wa kudai haki zao tofauti na kizazi kile cha wapigania uhuru kama kina Nyerere, Obote Kenyatta Kamuzu Banda, Mugabe nk.walitetea haki kwa nguvu zao zote waziwazi hadi wakawatoa wakoloni wakarudi makwao.
Cha ajabu hiki kizazi kilichozaliwa kuanzia miaka ya 70s hadi90s(nguvu kazi) ni kizazi cha waoga sana.hawajali hata wakinyimwa haki zao.Mfano tozo za simu tuliahidiwa ifanyike kwa mwaka mmoja lakini imekuwa endelevu na hakuna hata mmoja wa kuhoji
Mikataba ya kilaghai inaumiza wananchi.Mfano gesi ya mtwara tuliambiwa ingepunguza bei ya umeme nchini lakini imekuwa kinyume chake.Hivyo hivyo na huu mradi wa uchakataji na usindikaji wa gesi (LNG)na wenyewe tutapigwa tu.Mkataba wa kujadiliana na watu wawili hapo si ndo kupigwa kwenyewe.
Pamoja na hivyo, hamna hata mmoja amehoji.wasaidizi ni kusifu tu.uoga umezidi sana tofauti na wakina nyerere walipinga hadharani hii mikataba ya kilaghai pamoja na kodi za kihuni kama hizi. watawala waliojifanya wagumu cha moto walikiona.hawakuogopa cha policcm wa enzi hizo wala chombo chochote cha dola.
Kwa sasa huduma zote za umma ukianzia hospitali,shule nk.zote niza kusuasua.watawala wao hawaziboreshi kwa kuwa haziwahusu.Wao hutumia kodi zetu kwenda nje pamoja na watoto wao kupata huduma hata ambazo hazisitahili(malaria kwenda kutibiwa ulaya).yote haya yamesababishwa na aina ya jamii yetu kuwa ya waoga sana tofauti na jamii ya enzi za nyerere
Wewe mdau karibu tushauliane tufanye nini ili tuwe na watu jasiri na wazalendo kama wa enzi za wapigania uhuru?Maana kwa kizazi cha sasa ni cha kusifia tu hata pale pasiposifika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo bora wakoloni wangeendelea kubaki, unaona ni bora kutawaliwa na mzungu kuliko mwafrika mwenzako. Mmh hatariWanaojiita wapigania uhuru wa Kiafrika wengi walikuwa tu wanataka Mzungu aondoke ili wawageuze waafrika wenzao watumwa.
Ona ANC ya S.A kimeguka chama cha ufisadi wanaojiita wapigania uhuru wanautafuna S.A, kule zimbabwe yake yale, hapa TZ labda JKN tu ndiye aliondoka akiwa na mali za kawaida na wala hakuwaacha watoto wake kwenye system,
Unaweza kuniquote mstari niliosema hiki ulichoandikaKwa hiyo bora wakoloni wangeendelea kubaki, unaona ni bora kutawaliwa na mzungu kuliko mwafrika mwenzako. Mmh hatari
Sent from my SM-A025F using JamiiForums mobile app
Kweli mkuu