nimefurahishwa sana na kichwa cha habari ,hii nani kailoga Tanzania,Tanzania haijalogwa ila watu wake wamejiloga wenyewe,Duniani kote 'UMMA' yaani wananchi ni tajiri wa kwanza ,unaweza ukawa billionea lakini kama huna watuutajiri wako ni bure,maana yake ni kuwa wananchi wa Tanzania wanapaswa...