Kumbukumbu la Torati 29:29 Mambo ya siri ni ya Bwana, Mungu wetu; lakini mambo yaliyofunuliwa ni yetu sisi na watoto wetu milele,..."na ndio maana mambo mengine hayawezi kukuingia akilini
inamaana wawekezaji wazawa ndio washindanishwe kimataifa ila wawekezaji wa nje ndio washindanishwe kitaifa sio?daah hata kama ni kulihudumia tumbo kiivi badi tuangalie njaa isizidi sana kichwani
mkuu hii ajali ilitokana na canter ambayo ilikuwa imetoka na maiti mbeya kijiji cha songwe na inasafirisha kupeleka songea,pipe za brake katika canter hivyo kupelekea gari hiyo kukosa brake,kwa sasa kitongoji cha songwe kina misiba takribani mitano,na wote ni watu wangu wa karibu!MUNGU azidi...
endeleeni kuwaza hivyo hivyo badala ya kuangalia tatizo ni nini nyie mnarukia kwenye hukumu moja kwa moja,wanochoma ofisi za ccm;
1.kwa sababu ndio chama kilichoshikilia dol.a
2.ndio chama kinachopitisha na kutetea sheria kandamizi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.