Serikali yetu kwa sasa imewapa uhuru sana kitengo cha usalama mpaka imefikia wakati wanavuka mipaka na kushirikiana na wezi au na watu wengine watenda maovu. Polisi kama tunavyoelewa ni kulinda raia na mali zao lkn leo imegeuka imekuwa kuonea raia na kunyang'anya mali zao.
Imagine Polisi...
Kabsa yaani me naona tatzo sio paymaster tatzo ni uongozi alionao uongozi ukiwa mzr piah yeye anakuwa vzr kwa hiyo usimhukum aliechini wakt wa juu umemwacha
Habarini wanajamvi wenzangu,
Vijana wenzangu, wadogo Zangu na wakubwa Zangu, ndugu jamaa na marafiki nimekuja jukwaani humu kuomba msaada kwa yeyote ambaye anaweza kunipatia ushauri juu ya baishara halali yenye manufaa ya kimaemdeleo ya maisha.
Nipo Dar mtaji wangu ni million mbili pia sina...
Ulishaiyona lkn hyo supercomputer nikama computer nyingine sema unauwezo mara mia ya computer za kawaida
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Anarudisha faida yake huyo Wenda hawakumuelimisha nni maana ya kanisa Wenda alijua ni mikoba anaweka akiba mwanzoni mwamwaka anachua vyake ,alafu kanisa linashitaki badala ya kumwombea maana na hilo ni pepo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.