Mtanzania ambae hakulaani Mapinduzi ya Uchaguzi yaliofanyika Zanzibar 25 October 2015, unapata wapi ujasiri wa kuwapongeza Wakenya leo?[emoji15][emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushauli polisi wekeni sirahaq Chini mkakae meza moja na wananchi muongee kwa poright language, hio ninja ya kupata wahalifu majibu mengi wanayo Wana nchi wanashidwa kuwafikishia kutokana mnatumia nguvu nyingi Sana (selikali ikae meza moja na wanachi WA kibiti)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.